Recent content by jepro

  1. jepro

    Magufuli ana nia ya kulisogeza mbele Taifa lakini anapaswa kuwa makini kwenye Mambo 5 yafuatayo!!

    1. Kwanza awezeshe kuwa na uhuru wa Vyombo vya Habari. 2. Demokrasia ni jambo muhimu awape wapinzani uhuru wa kuikosoa serikali kwa kuwa hakuna aliyekamilika duniani kila mtu hutenda makosa na kukosolewa ndo njia pekee ya kujifunza ulipokosea na ukajirekebisha na mambo yakaendelea kama ilivyo...
  2. jepro

    Natafuta mpenzi

    Unataka kuacha dili ya viwanja uoe nini??
  3. jepro

    Natafuta kazi

    Hujui uombalo soma kwanza ukimaliza uje.
  4. jepro

    Natafuta mpenzi

    Wa kupima ww sio mzima
  5. jepro

    NSSF update

    Ameeen
  6. jepro

    Upatikanaji wa ajira katika tume ya uchaguzi upoje?

    HiZo ni tenda za walimu wakuu wa mashule mbalimbali hususani walimu wa shule za msingi na hizi huwa wanapewa walimu
  7. jepro

    NSSF update

    Mungu atusaidie mambo ya upendeleo pamoja na udini yasiwepo
  8. jepro

    NSSF wameita for interview

    Nimetumiwa email hata mimi
  9. jepro

    Vietell Tanzania inatafuta wafanyakazi 784 katika nafasi tofauti

    Mshahara wenu wa laki tatu ni mdogo sana..
  10. jepro

    Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Fresh ngoja tuendelee kupambana
  11. jepro

    Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Bora nikose tuu nijue moja
  12. jepro

    Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Ila wanatakiwa waongeze vigezo katika nafasi wanazotangaza ili kuepuka idadi kubwa ya wasailiwa wa written ili.tupunguziane garama
  13. jepro

    Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Computer system analyst
Back
Top Bottom