Upatikanaji wa ajira katika tume ya uchaguzi upoje?

babzube15

Member
Dec 20, 2014
19
4
Tumeona sasa hivi tume ya uchanguzi imeanza kuandikisha kwa majaribio baadhi ya maeneo na baadae kwa nchi nzima....hizi kazi tunapataje wana jf
 
Mkuu sijakuelewa unaongelea uchaguzi mkuu wa 2015 au huu wa kuandikisha vitambulisho vya kupigia kula
 
HiZo ni tenda za walimu wakuu wa mashule mbalimbali hususani walimu wa shule za msingi na hizi huwa wanapewa walimu
 
Mkuu sijakuelewa unaongelea uchaguzi mkuu wa 2015 au huu wa kuandikisha vitambulisho vya kupigia kula
Mkuu vitambulisho vya kudumu vya kupiga kula....wameanza zoezi la majaribio baadhi ya maeneo na linaonekana linafeli maana vifaa havifanyi kazi au hawajui kutumia vifaa hivyo
 
Back
Top Bottom