Mkuu waweza tafuta fundi akakusukia inverter ya pure sine ambayo inaundwa kulingana na matumizi yako. Alafu unatafuta betri za kwenye minara, au za kampuni za Rita ya N100 au N200 kulingana na matumizi yako. Then unapeta maana inverter inakuwa na sehemu ya kuchajia umeme ukirudi. Pia Kuna mfumo...
Daah mancity kama joka lililosimuliwa katika biblia kuwa amekokota theluthi ya nyota na kuzibwaga. Naye kakokota mikeka yote Chali akisaidiana na bwana Celtic. Kiufupi hii kazi ni ngumu. Ni vichapo tuu na vilio, aliyesema kuwa betting Hela ni ya kiulaini na apingwe na wakamaria wote. Kanji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.