Recent content by Jenym

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini juu ya kukamatwa kwa vijana 11 kwenye msitu wa makolionga mtwara

    mkuu chibolo hii vita ni yetu wote kwani hawa watu ni ndugu zate na tunawafahamu tushirikiane kuwafichua, tusipoziba ufa tutajenga ukuta
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini juu ya kukamatwa kwa vijana 11 kwenye msitu wa makolionga mtwara

    Wantanzania wenzangu tunajifunza nini kwenye tukio hili la kukamatwa kwa vijana 11 wakifanya mazoezi ya ugaidi katika msitu wa Makolionga huko mtwara, hivi tunakubali kuiachia nchi yetu itafunwe na watu wasioitakia mema nchi yetu.Polisi wanafanya kazi nzuri sana, wananchi tunapaswa kuwaunga...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi daftari la kudumu la makazi lilienda wapi?

    Wanajamvi naomba kuwasilisha yafuatayo:- Kwani nakumbuka miaka ya 1990 kurudi nyuma kulikuwa na Daftari la kudumu la Makazi kwa kila Kijiji na Mitaa kwa nchi ya Tanzania. Utaratibu huu ulisaidia sana kuwatambua wageni wote waliokua wakifika sehemu hizo kwa kujiorodhesha majina yao kwa balozi wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    acha ushabiki wa kisiasa wewe unaongea kama mjinga wa mitaani hapa ni kwa maslahi ya wananchi sasa wewe kama mtu uliepewa dhamana kuitetea tanzania kwa upande wa vijana ndo unatetea nini hapo? inasikitisha sasa kama mpaka sasa hujielewi. sisi kila tutumiapo simu tunatozo la kodi kwa makampuni ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wastegate yalipuka ?

    duuh inasikitisha sana
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askari watatu wapoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa vibaya ajalin msafara wa opareheni kimbunga

    poleni makamanda, mungu awaponye hao majeruhi na kuwatia nguvu wafiwa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askari watatu wapoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa vibaya ajalin msafara wa opareheni kimbunga

    kuwa na moyo wa uzalendo wewe, hiyo ni ajali kama ajali nyingine inayoweza kumkuta mtu yeyote, kama huna cha kuongea bora unyamaze
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    inasikitisha sana jamani, kuna umuhimu wa east afrika kuungana na kutangaza vita dhidi ya al-shabab hawastahili kuishi katika dunia hii.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Tz: Tunawashikilia askari wetu wanne kwa mlipuko wa bomu Soweto

    sidhani kama taarifa hizi zinaukweli wowote ndani yake kwani hazijathibitiswa popote na wala jeshi la polisi halijaongelea chochote labda kama uliambiwa ukiwa chumbani kwako.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tukio polisi walipuaji bomu Arusha kushikwa wakati Mwigulu akiwa nje ya nchi

    naombeni source ya hii mada nithibitishe kama kweli hizi ni taarifa za kweli au ni propaganda. tukio kama hili ni sensitive sana tunahitaji taarifa za kuaminika na sio tetesi.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi juu ya Katiba Mpya - Sept 21, 2013

    ndo naelekea huko, muda si mrefu ntatia timu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi juu ya Katiba Mpya - Sept 21, 2013

    mungu bariki mkutano huu amani itawale.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tafadhalini twendeni tukasikilize maoni toka kwa viongozi wetu wa siasa na sio kuvunja amani

    mkutano huu ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu, hivyo ntawachukia sana wajinga wachache watakaosababisha vurugu na hatimae kuvunjika kwa mkutano huu. tufike mahili tutambue kuwa maslahi ya taifa hili sio ya chama peke yake bali ni ya taifa kwa ujumla. tukasikilize mkutano kwa amani na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kama hata IGP Mwema ni mbumbumbu wa sheria za nchi, basi nchi hii kwisha kazi yake!

    Nadhani wewe ncio tatizo kwa kuwa hujui hata sheria za maandamano na mikutano ya hadhara inawahusu polisi, na kwa uelewa wako mdogo ndio mnaoharibu watu na kuvuruga mikutano yenye hoja za maana. polisi wanahaki ya kusimamia na kudhibiti maandamano kama kuna viashiria vya uvunjifu wa amani.
Back
Top Bottom