Recent content by Jenomore

  1. J

    Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania latoa tamko la kumuunga mkono Dr. Magufuli

    Wanafunzi butu hawajui mabadiliko manaana yake nini pole zao
  2. J

    Shigongo, kama biashara imekushinda, funga kampuni

    Global Publisher wasifanye uandishi dhaifu je baba yake Erick akikaa uchi wanaweza kumpiga picha? Tumeona habari nyingi za uingiliaji wa faragha za watu na wananganganizwa kupigwa picha huu ni unyama. Pesa mnazokula ni haramu kwa kuingilia faragha za watu. Kuna jambo gani geni kwenye ngono...
  3. J

    TANESCO, Mbezi Mwisho tumewakosea nini?

    Tunashangaa sana hawana hata huruma hawaeleweke
  4. J

    CCM yapora eneo la Soko la Tabata Muslim na kujenga Ofisi yao

    CCM chama cha waporaji kinafahamika. Jasho la wazee wetu kujenga Viwanja vya mpira wakaviita vya CCM ni wizi wa mchana
  5. J

    Polisi wenye piki piki (TIGO)

    Hawa ni walevi na Malaya wakubwa sana wanafanya kazi isiyokuwa yao tena wanatishia silaha za moto walizonazo nani kawapa kazi hii wahuni Hawa. Wameshindwa kuzuia uhalifu wa panya road wananyanganya vijipesa vya boda boda. Wengine nimewakuta jana huko vichochoro vya chuo kikuu mlimani...
  6. J

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Tufunge mjadala huu tusubiri mamlaka ya maamuzi ifanye kazi yake tutaipima kwa hili
  7. J

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Wanajamii nimesikia kuna mkutano wa waandishi wa habari na prof. Tibaijuka naomba taarifa zaidi
  8. J

    Ajali ya bodaboda yaua

    Kamanda Manyerere hizo ajali za dala dala na boda boda zimezoeleka sasa wanakufa mno kunatakiwa njia mbadala ya kuokoa maisha ya Hawa jamaa
  9. J

    Hawa Ghasia: Uchaguzi ulikuwa na kasoro katika baadhi ya maeneo

    Huyu mama na shungi zake ni mzigo mkubwa hafai kabisa
  10. J

    Naomba nifahamishwe kuhusu cheti cha ndoa

    Mamlaka pekee inayotoa vyeti vya ndoa ni serikali kwa mujibu wa sheria ya ndoya ya mwaka 1971. Bakwata kwa mujibu wa sheria hii ni baraza la usuluhishi la kidini inapotokea mgogoro wa ndoa. Vyeti vya bakwata havina nguvu yoyote kisheria ni utambulisho wa kidini kama vilivyo vyeti vya ubatizo kwa...
  11. J

    Huu ni usaliti wa wabunge wetu

    Ndg yeti jaribu kuelewa Mwandishi huyo ameweka mawazo yake na amenukuu vifungu vya katiba kuimarisha hoja take muhimu L
  12. J

    Huu ni usaliti wa wabunge wetu

    Wanasiasa wameunda kamati ya marithiano na kukubaliana maswala yao na kuweka kando maslahi ya Taifa it is shame
  13. J

    Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

    Mzimu sasa unaanza kuondoka
  14. J

    Ndoa za vijana wa kisasa

    Ni kweli kabisa vijana wengi sasa especially kwenye makanisa yetu wengi wanaoana wakiwa na mimba. Kinachonishangaza kanisa pia limeamua kuchukulia poa sijui imani hii inakwenda wapi?
Back
Top Bottom