Ajali ya bodaboda yaua

Ajali ya bodaboda yaua

Sio busara kuwa na roho nyeusi kiasi iko!!kama hujawahi kupoteza ndugu,rafiki,mzazi au mpenzi kwa ajali ya bodaboda nakuelewa,lakini sio busara bado bora ungejisemea kimoyomoyo!!


Kweli nimekosea,ila ni wasumbufu sana barabarani ukimgusa na gari wanataka kuchoma moto na kukuua wakati mara nyingi makosa ni ya madereva wa boda boda ,,,,ulevi unachangia kuwapa kiburi
 
Kamanda Manyerere hizo ajali za dala dala na boda boda zimezoeleka sasa wanakufa mno kunatakiwa njia mbadala ya kuokoa maisha ya Hawa jamaa
 
bodaboda zinamaliza vijana tunaotegemea walete mabadiliko katika nchii hii huku serikali ya ccm ikipuuzia uteketeaji huu wa nguvu kazi ya Taifa pasipo kuchukua hatua za makusudi.

huyu naye vp
 
Tunahitaji mjadala wa kitaifa kujadili hatima ya bodaboda na vijana wa taifa hili. Maafa ni makubwa mno.

Mkuu kwa heshima nayokupa..pokea my like..
Mzee aliwahi kuniambia siku moja..
Siku akiumia ama kufa mtoto yeyote wa kada za waheshimiwa..
Hiyo habari ya national dialogue itaanza.hii ni baada ya dereva wa bodaboda kumchomekea,akamgonga.
wenzake wakataka waanze kumshambulia..
pikipiki si tatizo.tatizo zimefanywa kama escape route ya matatizo yetu ya kimsingi.
Sheria mbovu za usalama barabarani,rushwa na massive unemployment.
The rest tunayajua wenyewe..ila mie natamani siku aanguke kijana wa vigogo wala nchi kwa boda accident.
Heshima itakuja ingawa wengi wao pia ndio wamekuwa matajiri kwa kufanya import business toka Asia.
kwaiyo kuachia ulaji wao..ni kama kumpora mtoto nyonyo mdomoni..kazi ipo..


Bodab
 
hawa vijana nafkiri wangepewa elimu ya kutosha kuhusu usalama barabarani maana wanajiendea tu kutakashindana na magari Mungu ampumzishe kwa amani marehemu

Mkuu asilimia kubwa ya madereva wa hizi boda boda ni wale waliokuwa vibaka.. wasela na watemi wa mitaani.. Hawakupata polish yeyote kuwahamisha kiakili toka status yao ya usela.. ukabaji na utemi.. Matokeo yake wanaleta hayo barabarani.. Dereva wa bodaboda anaichomekea gari wakati mwingine simply tu huyo dereva ni msela nondo.. hababaishwi wala kumuogopa mtu.. Na ndo maana wanapoungana wanafanya uhalifu mkubwa dhidi madereva wa magari na magari yenyewe..

Mpaka hili tatizo litakapo jadiliwa na kupata ufumbuzi ndo tutaweza kuepukana na ajali hizi za boda boda..
 
Madereva wa bodaboda jamani kwa kweli hawafuati sheria na wako rafu sana kwenye uendeshaji. R.I.P

wanavuta bangi wengine.juzi nilipanda nusu anipoteze kumuuliza kulikoni ananiambia.hajapata kile kitu cha kuzimua.RIP
 
hii inatokana na ufinyu wako wa kuchambua maelezo, toka lini vijana ikamaanisha wavulana?
na watoto ina maana gani? wazee je?

tupunguze kuwa wapinga kila kitu, sio sehemu yake kuongelea mjadala huu tho,

Walale pema peponi wote waliohusika na ajali hizo za boda boda
 
Back
Top Bottom