Ni kweli hajakataza, ila ukirejea kwenye bible Yesu aliwaambia mitume wake,
Kwaiyo walipewa mamlaka ya kuamua, kuoa mke mmoja ni sheria ya kanisa iliyowekwa na mtume Petro na wala sio sheria ya Mungu
Ile ya kubeba hadi wanafunzi na malori sio, Kuna shule moja iko Arusha mmiliki aligoma kutoa wanafunzi alichokipata alipewa deni la kodi la mabilioni ile kesi sijui imeishia wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.