Natumia techno H6. Ttz n memory ishu. Cna apps nyng Kw phone BT nashndwa hata kutake pictures,inaandika no space. Nmedelete vitu kbao BT bado ttzo lipo.nkiangalia kwny memory inanambia free space in 1Gb. Plz help
Maisha ni kujaribu,hongera yako ww ambae yako yamekunyookea!! Sio mda w lawama ni muda wa kunijuza unachokijua!! Af ww s mwl,sjui unafatann uku,walimu ni wastarabu na washauri pia
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Wapendwa mm ni mwalimu nilie pangiwa ajira mwaka jana, lakini sikuripoti kwasababu nilipata shule ya private na mpaka sasa nafundisha private school! Sasa kutokana na mambo ninayo kumbana nayo huku ninampango wa kuomba ajira tena serikalini ili mwakani nihamie serikalini lakini sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.