Jaman nmeambiwa mpakani kubadili pesa ukiwa na laki moja ya burundi unapewa elfu Thelathin ya kitanzania yan huko kwa biashara hapafai labdackama kuna mtu anajua sehem ya kubadili pesa tofaut na mpakan maana ata benk naskia hawabadili
Tatizo ela yao naskia ipo chini mno yan wanasema ukiwa na laki moja ya burundi yani 100000bif ukibadili mpakan unapata elfu thelathini ya tz sasa apo ndo napaona pagumu kufanya biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.