Recent content by Jenerali kiduta

  1. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Dubai changamkia fursa.

    ha ha ha ha itaisha kama nini???
  2. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani

    Achana na akili za kusema market .. Ila pia kwa ushauri wangu soma geomatics ukihitaji ushauri zaidi ya hapa nitafte sasa
  3. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Tigo huu ni wizi au tuwaiteje?

    Ni uongo huu maana Tigo au voda wapo active sana kuzuia hela na hyo hela washaizuia muda tu ni ujanja ujanja wanautumia kukuchelewesha nishawahi kukosea HVO wakasema wakala kashaitoa niwe napiga kuwaulza siku akiweka nikaona ni uswahil mana wao wanamfaham vzr wakala alipo na lesen zake wanazo...
  4. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Je umechaguliwa Ardhi university na unahitaji chumba?

    Nitafute nikupe chumba kikubwa karibu kabisa na chuo dk 2 unafika chuoni bei nzuri maji yapo geti na umeme wahi haraka 0768007733
  5. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa Ardhi University na huna pa kuishi?

    Ndio maana sijasema UDSM
  6. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa akiliponda jeshi la polisi anaulizia nafasi za kazi polisi.

    Tatzo sio yeye tatizo ni mfumo wa elimu umemjenga kuwa tegemezi na muoga
  7. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

    Ha ha ha ha ha ha ha you made my day
  8. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa Ardhi University na huna pa kuishi?

    Nitafute nikupe Chumba kikubwa karibu kabisa na chuo dk 2 unafka chuoni bei nzuri maji yapo geti na umeme wahi haraka 0768007733
  9. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tuliochaguliwa Marian University naomba tukutane hapa tuyajenge

    mi pia mdogo wangu yupo hapo ila sikifahamu kilipo
  10. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Bussiness information techonology vs purchasing and supply management

    Punguza presha wew nenda kasome unaanza stress asubuhi hvyo (REFI)
  11. Jenerali kiduta

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

    utakuwa ulisoma ukiwa inservice
Back
Top Bottom