encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 513
- 397
Habari wanajamvi!
Kuna rafiki yangu fulani pindi tunasoma A-level kule Mwanza, hakuna kazi aliyokuwa akiipondea kama ya upolisi.
Sasa kinachonishangaza jana amenipigia simu kuniulizia kama nina fununu zozote kuhusu intake za polisi kama zimetoka au kama nina fununu zozote.
Hoja ya kujadili hapa ni je, vijana Wakitanzania tunaelekea wapi?
Kama mtu anapigania kupata kazi ambayo haipendi kabisa atatoa huduma sahihi kwa wananchi?
Nini mustakabali wa Taifa letu kama kunakuwa na wimbi la watu wanaofanya kazi ambazo hawazipendi?
NOTE:
LOGICAL REASONING AND ARGUMENTS WILL HIGHLY BE APPRECIATED.
KARIBUNI!