Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,186
Tcla[emoji777] TCRA[emoji736]Tcla ndo wanaweza kumsaidia
Tcla[emoji777] TCRA[emoji736]Tcla ndo wanaweza kumsaidia
Sawa. OverTcla[emoji777] TCRA[emoji736]
Hakika wanakera sana!!Huyo Wakala mwingine unayemzungumzia ndiye huyo Michael Mwenda?
Kama ndiye, hivi yeye kama mpokeaji huwa hana nafasi ya kufanya chochote? au alimradi imekosewa basi yeye anayo haki ya kuibwenga na lawama zote zibaki tu kwa mtoa huduma?
Ni ngumu sana wakala kuiba pesa ya mteja,otherwise washirikiane na watu wa Tigo,lakini hivi hivi sio rahisi!!!Kweli hapo jamaa anaweza akalaumu mtoa huduma wa tigo anashindwa kujua kuwa wenda wakala alivyoipata tu fasta akaipiga juu kwa juu na tigo wanashindwa kumrudishia pesa yake.over
Ni uongo huu maana Tigo au voda wapo active sana kuzuia hela na hyo hela washaizuia muda tu ni ujanja ujanja wanautumia kukuchelewesha nishawahi kukosea HVO wakasema wakala kashaitoa niwe napiga kuwaulza siku akiweka nikaona ni uswahil mana wao wanamfaham vzr wakala alipo na lesen zake wanazo kabsa na picha nliwapeleka police na nikamtaarifu customer care aliyekuwa ananipa taarifa za kunizungusha wakasema mpka niende kwa zonal manager wao b4 sijafka wakanirudshia hela fastaKweli hapo jamaa anaweza akalaumu mtoa huduma wa tigo anashindwa kujua kuwa wenda wakala alivyoipata tu fasta akaipiga juu kwa juu na tigo wanashindwa kumrudishia pesa yake.over
Ata mm nimeona hilo mkuu isije ikawa Market warEbu piga Screen shot massage halisi ya TIGOPESA
Sijataka kuweka namba zangu hapa kwa sababu maalum!!lakini nadhani kuna haja ya kuwachukulia hatua,nafikiria kuwashtaki hawa Tigo!Ata mm nimeona hilo mkuu isije ikawa Market war
mambo mengine sio ya hadharani. angenipm nahis hadi muda huu angekuja kuutoa shukran.Namba ya nini sasa,sema hapa kila mmoja ajue,itawasaidia na wengine pia!
Aisee ulidinda hatar, unaweza share nasi ilikuwa bei gani?Ni uongo huu maana Tigo au voda wapo active sana kuzuia hela na hyo hela washaizuia muda tu ni ujanja ujanja wanautumia kukuchelewesha nishawahi kukosea HVO wakasema wakala kashaitoa niwe napiga kuwaulza siku akiweka nikaona ni uswahil mana wao wanamfaham vzr wakala alipo na lesen zake wanazo kabsa na picha nliwapeleka police na nikamtaarifu customer care aliyekuwa ananipa taarifa za kunizungusha wakasema mpka niende kwa zonal manager wao b4 sijafka wakanirudshia hela fasta