Ngao - self defense system, ni mfumo wa kujilinda dhidi ya wahalifu, magonjwa, kesi, ajali, mazingira hatarishi, tabia mbaya, wanyama wa Kali na wadudu wa Kali. Lengo kuu la mafunzo ya ( ngao -self defense system ) nikumfanya kila mtanzania , wakiwemo raia, viongozi wa serikali, vikosi vya...