Recent content by Jenchede

  1. Jenchede

    Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Haya masuala wanawake tujifunze kwa kweli. Nilikuwa hutoa ushuhuda humu kuna baba alienda kutafuta maisha mkoa mwingine kufika kule kaanzisha mahusiano na mtu akazaa naye . Huyo mwanamke alikuwa anajua fika huyu baba ana mtoto na mbaya zaidi mwanaume alikuwa akitafuta mali anapeleka kwenye...
  2. Jenchede

    Kero ya faini ya 50000 kwa kukanyaga nyasi stendi ya Somanda Bariadi mkoa wa Simiyu

    Ndo maana hatuendelei. Watu wamepanda nyasi wanamwagilia ili kuleta mandhari nzuri na njia ya kupita ipo. Ndo kuna siku nimeenda hospitali kumpeleka mtoto,,,mwanamke mmoja eti akatema mate kwenye tiles alipokaa bahati nzuri nesi alimuona kamfata kamuuliza kwa nini uteme mate hapo akajibu...
  3. Jenchede

    Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Hapo cha kufanya wanandugu wagawane watoto wakalee. Maana hata akienda mahakamani anaenda kumshataki nani? Mke mkubwa ibaki huruma yake tu.
  4. Jenchede

    Rafiki angu anaenda kulia kilio cha kusaga meno

    Daaah kuna muda huwa nacheka pekee yangu. Eti tunaruka ruka kama popkon mweee
  5. Jenchede

    Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Hakika umelenga mule mule. Mi ni mwanamke lkn kwenye ukweli usemwe tu. Tena unakuta kabisa anajua huyu bwana ni mume na ana familia yake. Anaahidiwa ooh subiri nitamuacha mke wangu nikuoe wewe kwa akili mbili anaachia mapaja akidhani anamkoa mke wa kwenhe ndoa kwa kuona anapendwa kumbe...
  6. Jenchede

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Ni kweli si sahihi kwa mwanaume kukataa mtoto lakini asilimia kubwa ya wanawake single maza wanazaa kwa utashi wao ili wapate uhakika wa kupata fedha na wengine ndoa. Na wengi wanazaaa na waume za watu wakijua fika huyu mwanaume ana familia na watoto. Na hapo wanawake ndo tunaposhindwa...
  7. Jenchede

    Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

    Ukiona mchepuko kamfata mke wa ndoa ujue kabisa mwanaume ana msimamo na anampenda vilivyo mke wake. Michepuko mingi huwa inaingia kwa gia ya kudhani wanapendwa kumbe wanaume wao lengo lao ni kupata tu mbususu . Wakiona bado wanafichwa wanajilazimisha kujipeleka ili mke wa ndo upaniki uondoke...
  8. Jenchede

    Michango ya send off na harusi chanzo kikuu ndoa nyingi kuvunjika

    Michango haiumi kwa watu wako wenye ukaribu na wewe kwa maana kuna wale watu mpo pamoja katika shida na raha. Na unajikuta unatoa tu kwa moyo bila hata kukumbushwa. Lkn kuna ile mtu hamna ukaribu labda mmekutana tu kwenye kikap cha kazi, tena mara moja au sehemu yoyote basi anakudaka anaanza...
  9. Jenchede

    Je, Watoto wako wanamuheshimu Dada wa Kazi Nyumbani

    Watoto wanajifunza yale ambayo wazazi wanatenda,,,kama mama hamuheshimu dada ,, watoto wataanzaje kumuheshimu.
  10. Jenchede

    Changamoto za Ndoa: Kufungua Mlango Mpya au Kuendelea na Safari ya Majaribu?

    Usikute huyo kaka mtu kamfanya ndondocha au ndo chuma ulete wake. Kibinadamu haiwezekani ukae na mdogo wako hana issue yoyote ile halafu muende mkamuozeshe mke kitu ambacho hakipo. Halafu mbaya zaidi miaka yote hiyo amekaaa tu kama boya. Watu wengine huwa wanafungwa ufahamu wasijue wala wasiwe...
  11. Jenchede

    Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Hapo sasa kama alikubali kumuoa akabeba na majukumu ya kulea mtoto. Nimfiche kipi. Kwa kweli kabisa,,binafsi ikitokea mwanaume anamkataa mtoto nalea napambana mwenyewe nije nipate mtu wa kunipa heshima na usingle maza wangu. Hakuna cha sheria ya mtoto,,,wala afisa Ustawi atayetoa hukumu...
  12. Jenchede

    Ushauri: Tunza MSG za Miamala ya Fedha, Ningelala Selo leo

    Yaaa hiyo njia rahisi lkn hata kama ikitokea umefuta. Unawapigia customer care wanakutumia tu sms ya muamala uliyotuma ila ukumbuke tu taarifa muhimu tarehe uliyotuma,,,kiasi ulichotuma na ulimtumia nani.
  13. Jenchede

    Naombeni ushauri kidogo wananzengo, nahitaji kuwajua Wanawake wa Kihehe

    Kunywa pepsi nakuja kulipaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jenchede

    Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

    Usiache mbachao kwa msaala upitao. Kama alikuacha kwa ushauri wa watu wengine hakufai hata kwa kupita tu. Na kwa hali hiyo kesho akipata wa kufanana naye atakuacha ataenda kwa anayefanana naye ni suala la muda tu. Kubali kuamua kuachika au kuja kupigwa na kitu kizito siku za usoni chaguo ni...
  15. Jenchede

    URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Sema changamoto wengi ni kwa kutofahamu sheria au wanawatumia wanasheria wanaopindisha ukweli. Binafsi kuna familia naifahamu walikuwa na uwezo mkubwa tu,,na watoto wao walishakua wakubwa wanajitegemea ikatokea mama akafariki. Basi baba akawaga mali zote 50 kwa 50,,,kwa hiyo 50 watoto...
Back
Top Bottom