Recent content by Jemedari Hodari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili mbwa wangu awe mkali na abweke usiku?

    Mlishe cocaine
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search ni janga la kitaifa

    Leo umenifurahisha mkuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO imekata umeme maeneo mengi ya nchi: Kuna nini?

    Mm sipo Dar Ila nilipo ni hapa hapa Tanzania na umeme upo. Usipotoshe jamii ati kwavile uswazi kwenu wamekata umeme bas ndo Tanzania nzima wamekata.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Imani za kishirikina haziwezi kukusaidia kitu kwenye maisha yako zaidi ya kukuharibia maisha yako.
  5. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO imekata umeme maeneo mengi ya nchi: Kuna nini?

    Una uhakika umeme umekatwa nchi nzima? acha kutokwa maneno ovyo ovyo ww
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maandamano (nyomi) ya kutisha yaliyowahi kutokea

    Papa alikuja mwaka 1990 na si 1992
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza Sendoz za Kimasai

    Ha ha ha mbavu sina mie
  8. J

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inaweza kuingiza faida ya Milioni 2 kwa mwezi?

    Ha ha ha ha ha u made my day
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaoongoza kwa kuwa na matajiri wengi Tanzania?

    Huyo jamaa Sio kabisa. Zenji anadai ni mkoa na pumba nyingine anadai vogue inatumik kama tax ya kawaida kwa matajiri Wa Zenj. Je unemuelwwa utumbo alioandika pale? nahisi ni punguani huyo.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaoongoza kwa kuwa na matajiri wengi Tanzania?

    We Kenge sana kua na Vogue ndo ubilionea?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya madudu ya ajira za uhamiaji sasa imekuja kwenye scholarship za oil na gesi

    Usitegemee kuajiriwa. Usifwate mkumbo. Jiajiri au tafuta fulsa ya kujitengenezea kipato cha kutosha ili utoe ajira kwa watu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimemtafutia kazi nzuri anayolipwa vizuri zaidi ya hii aliyonayo sasa, amekataa

    Ninamacho hivyo haikua lazima kuambiwa nitazame.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nani kawaruhusu Wanajeshi hawa kupiga raia wasiokua na hatia

    Ha ha ha u made my day kiongozi.
Back
Top Bottom