silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,637
- 2,404
Kuna gazeti limeandika Lowassa aipiga mkwala Tanesco iache kuzima umeme ovyo. Ironically naona leo umezimwa nchi nzima. Wanatunishiana misuli au kuna tatizo ? ?
Umejuaje kua nchi nzima umeme haupo mbona huku nilipo upo

Tusioishi dar ndo tunakua nchi gani?Tukizungumzia nchi tunakusudia Dar na visiwani Znz. Wewe kama uko Makambako unachunga mifugo good for you
Tusioishi dar ndo tunakua nchi gani?
mkuu wewe upo wapi??
maana mm hapa nilipo umeme hakuna mm nipo MWENGE dar es salaam .
hembu sema wewe upo wapi yawezekana ni maeneo makubwa umeme hakuna.ukisema ww na mwingine atasema alipo ambapo umeme hakuna
mkuu wewe upo wapi??
maana mm hapa nilipo umeme hakuna mm nipo MWENGE dar es salaam .
hembu sema wewe upo wapi yawezekana ni maeneo makubwa umeme hakuna.ukisema ww na mwingine atasema alipo ambapo umeme hakuna
Kuna gazeti limeandika Lowassa aipiga mkwala Tanesco iache kuzima umeme ovyo. Ironically naona leo umezimwa nchi nzima. Wanatunishiana misuli au kuna tatizo ? ?
Tukizungumzia nchi tunakusudia Dar na visiwani Znz. Wewe kama uko Makambako unachunga mifugo good for you