Recent content by Jembe Jembe

  1. Jembe Jembe

    DOKEZO Wananchi wa Kondoa wamkataa Mkuu Wilaya, wamtuhumu kutumia polisi kuwapiga raia wakiwa uchi

    Wananchi wa kijiji cha Hurui, kata ya Kikore wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, wamelalamikia kitendo cha askari polisi wilayani humo, kuwakamata na kuwapiga wakiwa uchi wa mnyama usiku wa manane kwa amri ya mkuu wa wilaya hiyo, Dkt. Hamis Mkanachi, kwa madai kwamba wanashiriki kuchochea mgogoro wa...
  2. Jembe Jembe

    Askofu Monabani alizwa mahakamani, mahakama yatupa rufaa yake

    Mahakama ya rufaa kanda ya Dar es salaam chini ya majaji watatu leo imetupa shauri la rufaa namba 407/2021 lililofunguliwa na Mfanyabiashara Maarufu, Askofu, wa Kanisa la KKAM, Philemon Mollel akipinga hukumu iliyompa ushindi William Titus Mollel katika mgogoro wa kugombea eneo lililopo Ngulelo...
  3. Jembe Jembe

    Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha

    Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu Bilionea Shami, amedai kutishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa polisi jijini humo na kulazimika kuyakimbia makazi yake kutoka dar akitumia usafiri wa pikipiki na kukimbilia jijini Arusha. Akiongea na vyombo vya...
  4. Jembe Jembe

    Mfanyabiashara maarufu wa vituo vya mafuta Arusha adakwa na Takukuru akijifanya ofisa misitu na kupokea rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Arusha imemkamata mfanyabiashara maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jiji la Arusha, Maganga Baha lago akituhumiwa kujifanya afisa Misitu na kuomba rushwa ya shilingi 100,000. Kamanda wa Takukuru Mkoa, Zawadi Ngajilo amethibitisha...
  5. Jembe Jembe

    Vigogo watano Polisi Arusha mbaroni kwa rushwa ya Milioni 10,mmoja ashikwa na presha aanguka akihojiwa na tume ya IGP

    VIGOGO Wandamizi watano wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha wanatuhumiwa kuchukua rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya Mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60 katika tukio lililotokea desemba 5 mwaka huu eneo la Burka kata ya Elerai...
  6. Jembe Jembe

    Polisi aliyekodi majambazi kumuua mumewe akamatwa, hawara ni miongoni mwa wahusika

    Siku moja baada ya taarifa za mkaguzi msaidizi wa polisi kituo cha USA River Mkoani Arusha, Demetrida Sweethbert Thadeo kuanikwa kupitia mtandao wa Jamii Forums akidaiwa kukodi majambazi ili kumuua mumewe, hatimaye jeshi hilo limemkamata na yupo mahabusu imefahamika. Taarifa za uhakika zimedai...
  7. Jembe Jembe

    Kigogo wa Polisi Arusha adaiwa kukodi majambazi wamuue mumewe, wamkatakata kwa mapanga

    Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kituo cha Usa River, Demetrida Sweethbert Thadeo Mkazi wa Momela, wilayani Arumeru Mkoani Arusha, anahojiwa na polisi katika kituo hicho akituhumiwa kukodi majambazi waliomjeruhi kwa mapanga mumewe Daud Thomasi Ayo kutokana na ugomvi wa kifamilia. Kwa mujibu...
  8. Jembe Jembe

    ARUSHA: Waziri Mkuu Majaliwa awataka wataalamu wa Mipango nchini kutekeleza Majukumu waliopewa kwa kuwa wao ni kiingo mujimu chama maendeleo nchini

    Na Joseph Ngilisho Arusha WAZIRI mkuu,Kassimu Majaliwa,amewataka Wataalamu wa mipango Nchini kuhakikisha wanatekeleza majukumu waliyopewa Kwa kuwa wao ni kiungo muhimu katika maendeleo ya nchi. Majaliwa ameyasema hayo kwenye hotuba yake ilitosomwa na Naibu wake,dkt Doto Biteko,wakati wa...
  9. Jembe Jembe

    TCCIA na TRIAS zanoa wafanyabiashara wa nyama, Bodi ya Nyama yajipanga kufungia mabucha yanayouza nyama hafifu

    Chama cha Wafanyabiashara wenye viwanda na Kilimo TCCIA, Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Shirika la TRIAS Tanzania wametoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa nyama katika jiji la Arusha ikiwa ni mpango wa kukuza mnyororo wa thamani katika sekta ya Nyama. Akiongea katika warsha ya siku moja...
  10. Jembe Jembe

    Katibu wa Mbunge Ngorongoro amfanyia umafya dada yake ,atamba hayupo wa kumfanya chochote

    Mkazi wa kijiji cha Misigiyo wilayani Ngorongoro Mkoa wa Arusha, Veronica Makutiani(29) amenusurika kuuawa kikatili kwa kipigo cha baba yake mzazi pamoja na kaka yake ambaye ni katibu wa Mbunge Ngorongoro , wakimlazimisha kurejea kwa mume wake katili aliyekuwa akimtesa kwa kipigo na kumlaza njaa...
  11. Jembe Jembe

    Wananchi walia njaa JWTZ kuchukua Ardhi yao, watishia kuandamana kwa Rais Samia

    Wakazi zaidi ya 500 katika kata ya Moshono na Mlangarini Mkoani Arusha wametishia kuandamana kushinikiza serikali kuwalipa malipo yao zaidi ya bilioni 1, mara baada ya Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ kuchukua maeneo yao kwa mabaliano ya kuwalipwa fidia ,lakini hadi sasa ni zaidi ya miezi 10...
  12. Jembe Jembe

    Machangudoa wa Picnic na Shivaz Arusha wavamia kanisani kwa nabii wataka awapatia mitaji waache kujiuza

    Akina dada wanaofanya biashara ya kujiuza katika eneo la kaloleni jijini Arusha katika bar maarufu za Shivaz na Picnic wamevamia kanisa la nabii Geordavie lililopo Kisongo na kumtaka awapatie mitaji ili waachane na biashara ya ukahaba.
  13. Jembe Jembe

    Chama Cha wafanyabiashara (TCCIA) chawanoa wamachinga, Walemavu na Vijana

    Chama cha wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo TCCIA,kimetoa mafunzo ya uhusishwaji wa kibiashara kwa wafanyabiashara wadogo(Machinga),Vijana, akinamama wa sokoni na watu wenye ulemavu. Akifungua mafunzo hayo Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Maxmilliane Iranghe, amesema jiji la Arusha litatoa...
  14. Jembe Jembe

    Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro yafikishwa mahakamani kwa kuiba nyimbo ya msanii, yatakiwa kulipa milioni 123

    Kesi ya madai ya sh,milioni 123 inayoikabili kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro Track co.ltd dhidi ya Msanii wa kizaźi kipya,Nuni Suleiman(35) Mkazi wa Dar es salaam, imeunguruma katika mahakama ya wilaya Arusha. Shahidi wa kwanza katika shauri hilo la Madai namba 36 la mwaka 2022, Nuni...
  15. Jembe Jembe

    Vigogo wa Kampuni tatu za Madini ya Tanzanite Mererani matatani kwa kuvamia mgodi wa serikali

    Sakata la uvamizi haramu wa Mgodi wa Kitalu C wa Madini ya Tanzanite uliopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, unaomilikiwa na serikali namwekezaji mzawa kampuni ya madini ya Franone sasa imekuwa shamba la bibi baada ya wafanyabiashara wengine watatu wakubwa kuingia katika mgodi huo na...
Back
Top Bottom