Recent content by jema rashid

  1. J

    JamiiForums Tanzania Katavi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    kata ya ikola .isengule matokeo tayari chadema kidedea
  2. J

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars Vs Malawi

    angalia supersport 7 mpira umeanza.bilabila
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

    ila waboreshe audio za vingamuzi vyao iwe kama dstv
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kudai vizawadi kazini

    kumekuwa na vitabia vya watumishi wanaoishi/fanya kazi makao makuu ya wizara kuomba hata kulazimisha kuletewa vizawadi kutoka kwa wafanyakazi wa mikoani hasa pale wanapokuja kushughulikia mambo yao ya kikazi wizarani. Utasikia mbona unakuja bila michele, maharagwe, samaki na kadhalika. Tabia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Oktoba 25, Mbowe atang'olewa uenyekiti wa CHADEMA?

    tatizo kubwa walofanya chadema ni kumakaribisha lowasa na kumpa nafasi ya Urais
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tunda la tikiti maji linaimarisha nguvu za kiume?

    Nimekuwa nikisikia uwezo wa tunda la tikiti maji katika kuhimalisha afya ya mwanadamu, lakini hivi majuzi jamaaa yangu kanieleza uwezo wake wa kuimarisha ndoa katika kutoa nguvu za kiume. Mwenye habari yoyote kuhusu hilo kama ni kweli
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    hata silaa mwenyewe ni fisadi
  8. J

    JamiiForums Tanzania EA Radio mna shida gani?

    Mi nampenda Ian yule Mkenya
  9. J

    JamiiForums Tanzania EA Radio mna shida gani?

    alikuwa anatangaza kipindi gan
  10. J

    JamiiForums Tanzania PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

    waangalie isipotee angani.maana hawana uzoefu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

    kuna jamaa wakati wa presentetion pale mipango alibugia viroba .wakati zamu yake ilipofika alidondoka chini mbele ya watu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rangi Nyekundu kwenye bendera ya CHADEMA ina maana gani?

    ina maana ya upendo.wapendanao
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    kwa sasa ni lowasa couse tunataka ccm tuipige chini.mambo mengine baadae.winwin situation
  14. J

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    kigoma kusini.mpanda vijijini.kwa pinda.mpanda mjini.sumbawanga mjini na vijijini
Back
Top Bottom