Recent content by JELLY NYAMBA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Basi la Super Feo linalofanya safari Mbeya - Songea latumbukia Mtoni

    vifo wanasema vitatu. mungu awasaidie majeruhi wapone.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    nitafte tumalize!
  3. J

    JamiiForums Tanzania MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    kwa mazur tutamkumbuka na udhaifu wa kupotezea epa na upotevu wa mali za uma, ubinafshaji viwanda na kuuza ardhi karne 1 pia na hayo tunamrahum kuwa ametuuza.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Iringa: Meya asalimu amri,aruhusu machinga waendelee kuuza machine tatu

    ki2 kidogo cha kumaliza mara wataka hadi dam itoke ndowajue kuwa kuna wa2 wanaomba ki2, hii siyo kwamba watu hajasoma ila uelewa na kufikir jambo nikidogo. Maana wale wanafunga barabara kwa cku 1 na zile road haziko buss kwann wagombane?? Wenze2 wanamaamuz ya haraka.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    pole sana mtetez wa wanyonge, msema kweli sikuzote hubezwa maana kufanyia biashar kwa siku moja kunaathir nn na uzingatia mashine 3road not buss road like main roads. Hawatendi haki kwa machinga na wa2 wengine.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM watoana nishai - Same Mashariki hakuna lami wadanganya

    kapya hayupo sawa hatutaki wabunge vivuli tunataka maendeleo.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Maarifa ya kutengeneza na Kurusha Bomu Watz wameyapata wapi?

    watanzania tunaelekea wp? Tanzania ni aman ndio maana uhur we2 tupata bila kumwaga damu. Inakueje bomu leo hii? Ujanja ujanja wa wa2 fulan ambao hataki aman ya nchi ye2 tunaomba walaniwe kwa mawazo hayo mabaya.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    nakala mbona haionekani. Pia tunaomba ijali raia wote sio inajaa udini hicho ki2 hatupenda
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Manzese Secondary wanaanguka chini na kuzimia

    mungu awajalie roho mtakatifu awaangaze mapepo yasiweze kupata nafasi ktk shule hiyo pia awape ahueni waliodöndoka. Amina.
Back
Top Bottom