Recent content by jelk85

  1. J

    Utamu wa vyombo vya Dola kuonjeshwa ladha ya madaraka matamu ya kisiasa

    Absolutely spot on. Umeongea ukweli mtupu na kwa jicho la mbali sana. Well done. I'm surprised kwa nini huu uzi hauna comments na likes nyingi.
  2. J

    Ushauri kwa Sports Arena ya Wasafi FM

    Kweli unachozungumza, yaani kifupi hawako serous na kazi yao, ofisini inakuwa kama kijiwe cha kahawa.
  3. J

    Ushauri kwa Sports Arena ya Wasafi FM

    Kabisa, yaani wanaichukulia poa sana kazi yao. Hasa hasa Kitenge, unaona kabisa ni kama mtu aliyekurupuka tu akaenda kazini. A professional journalist, anatakiwa kufanya research ya kile anacho report. Yeye ndio anatakiwa kuwa reliable source of information kwa wasikilizaji
  4. J

    Ushauri kwa Sports Arena ya Wasafi FM

    Habari Wadau, Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko kwenye watangazaji wao wakiongozwa na Maulid Kitenge na Yusuf Mkule: 1. Kuwa Biased Wako biased sana...
  5. J

    Hatimae Telecom Italia, kampuni namba moja ya simu Italia imeiondoa Huawei kwenye uzinduzi wa 5G yake

    Hapo Huawei wamekuwa exluded kwenye Core Network which is common practice kwa nchi za magharibi...kuna chance wakashirikishwa kwenye upande wa Access Network (Base stations, IDU, ODU) na hata transmission network (DWDM, Microwave, Backhaul & Front haul etc) ambapo ndipo kwenye mpunga mwingi...
  6. J

    Diamond Platnumz kuwa macho sana na Mtiga Abdallah

    Ananias Edgar yuko vizuri zaidi... Napenda anavyochanganya utani kidogo kwenye masimulizi yake...hachoshi kusiliza
  7. J

    A day in the Buddhist college

    Mkuu Mshana Jr , asante kwa majibu yako... I must say, im a big fan.
  8. J

    A day in the Buddhist college

    Mshana Jr ,hiyo dini ndio freemason? It would be interesting kama ungetupatia uzi unaolezea connections/differences kati ya freemasonry, Buddhist na hiyo dini ya shetani?
  9. J

    A day in the Buddhist college

    ...pili, ulizimia kwa takribani muda gani, na je baada ya kuzinduka kuna vitu gani vingine viliendelea?... Tatu, did they keep contacting you tena baada ya ile siku ya ibada?... Nne, je uli escape vp kwenye huo mtego wa kuwa agent wao?
  10. J

    A day in the Buddhist college

    Mkuu Mshana Jr , ndio nimemaliza kusoma huu uzi mwanzo mwisho...huu uzi ni hatari, ni kama game of thrones fulani.. Nina maswali mengi if you dont mind...ningeomba kama unaweza ungeongezea nyama nyama pale kwenye kanisa la shetani....kwa uelewa wako, ni kweli kwamba kwenye hizo secret society...
  11. J

    Jumba ghorofa tatu lipo sokini

    Huu mjengo bado upo mkuu?
  12. J

    Mafuta yetu kule visiwani yaliishia wapi?

    Hili suala la kuwepo mafuta Znz nimejaribu kutafuta details lakini kiukweli mpaka sasa sijaona info zozote za kusupport kama kuna mafuta Zanzibar, hata kama yapo sidhani kama yanatosha kuchimbwa kibiashara...nadhani ni mchezo mchafu wa wanaofanya wanasiasa kueneza tetesi kwa ajili ya manufaa yao...
  13. J

    Viwanja Mbweni

    Weka bei mkuu
Back
Top Bottom