Recent content by Jehujehu

  1. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

    Mkuu ww ndio yule mtoto wa Lowasa uliehudhuria kwa makonda ama ni majina tu kufanana,
  2. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza daima duniani tunapita, lazima tuishi kwa wema na upendo na watu wa rika zote bila kujali utofauti wetu kidini, kiimani, kielimu au umri

    Kweli hiyo sheria sio very general hata wachawi wenyewe sio wote wanaoza ni baadhi . Hata mm nimesikia tu kwa hawa magwiji wetu lakini.
  3. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza daima duniani tunapita, lazima tuishi kwa wema na upendo na watu wa rika zote bila kujali utofauti wetu kidini, kiimani, kielimu au umri

    Wapo wadau walisema hapa kwenye thread fulani kwamba wachawi wa aina fulani wanapokufa roho zao zinakuwa ngumu kutoka na wanaanza hadi kujiozea wenyewe kabla hawajakata roho. Ila siamini kuwa kila anaeoza basi lazima atakuwa ni mchawi sugu!
  4. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo afunguka kuhusu scandal ya ushoga

    Aseee, ila yupo kibenben!
  5. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo afunguka kuhusu scandal ya ushoga

    Kitambo sana Evelyn Salt hebu tukumbushie hiyo inayomhusu phd ipoje mkuu,
  6. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania 2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

    Hadi mla rambirambi !
  7. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

    Dondosha mawee mkuu!
  8. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumuelewa Millard Ayo kwa jambo hili au na yeye ni mmoja wapo?

    Halafu wakifanikiwa wanaonekana maicon kwa vijana wenzao nchini, kumbe fake prosperity!
  9. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Sakata la ushoga: Afande Sele awatuhumu watangazaji wa Clouds na Efm

    lete habari........
  10. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania UKIMWI kwisha habari yake!

    Ngoma ni balaa, ukiepuka ni kumshukuru Mola kwakweli!japo watu tunajisahaulisha tukishazika wenzetu.
  11. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania UKIMWI kwisha habari yake!

    Unashangilia sana mkuu! Teheteheteheeeeheee!
  12. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mfanyakazi wa TTCL afariki kwa kupigwa jiwe na Mumewe

    YESU alisema mtu anaruhusiwa kumuacha mkewe kwa sababu moja tu na si nyingine,Uzinzi. Ila watu wanajitia watakatifu kuliko muumba wao hata wakihakikisha kuwa wanasalitiana bado wanaforce kuwa kuna ndoa bado.
  13. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    Tehe trhe teheteheheheheheeeeeee!
  14. Jehujehu

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ni ngangaripoa?

    Jamaa maneno yake ya kibabe nae, kapafona alikuwa ana maana gani sasa,
Back
Top Bottom