Recent content by Jeff Kabwinde

  1. J

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Kinana na Nape wakamatwe na kuhojiwa kwa kumwita Rais Mshamba

    Ndugu Waandishi wa Habari. Leo nitazungumza nanyi. Naomba tukutane katika Hoteli ya Double Tree,Dar es Salaam. Muda nitawaeleza baada ya muda mchache ujao. Mjulishe mwenzako. Lusinde (MB). 20/07/2019 -------- Akiongea leo na vyombo vya habari Mbunge Wa CCM Lusinde amemshangaa waziri wa mambo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania LUSINDE ATAKA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

    Ndugu Waandishi wa Habari. Leo nitazungumza nanyi. Naomba tukutane katika Hoteli ya Double Tree,Dar es Salaam. Muda nitawaeleza baada ya muda mchache ujao. Mjulishe mwenzako. Lusinde (MB). 20/07/2019
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shangazi huku hali si nzuri

    Shangazi huku hali sio nzuri sana, WanaCHADEMA wamekwenda kuvuruga mkutano wa ndani wa CCM Singida Mashariki ikatokea fujo. Wamewapiga wana CCM na wamewajeruhi baadhi ya wazee hapa tunawaza 2020 itakuwaje. Kitendo cha kinyama kabisa na waliofanya ni vijana tu wa red bregade waliopo kambi za...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wabunge wapokea fedha chafu Morena Hoteli, Dodoma

    Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao. Wabunge wengi inasemekana wana...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa CIS: Serikali yakunjua makucha! Manji, Mo Dewji, Wassira kikaangoni

    Baada ya tetesi kwamba aliamua kujifanya mwanahisa mkuu Simba ili apate huruma, sasa imedhihirika kuwa mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji "Mo" na wenzake wakati wowote wataozea Segerea. Mo na wanasiasa wengine ambao pia ni wafabiabiashara akiwemo Manji, Mzee Wassira, Hashim Rungwe...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa CIS: Serikali yakunjua makucha! Manji, Mo Dewji, Wassira kikaangoni

    Baada ya tetesi kwamba aliamua kujifanya mwanahisa mkuu Simba ili apate huruma, sasa imedhihirika kuwa mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji "Mo" na wenzake wakati wowote wataozea Segerea. Mo na wanasiasa wengine ambao pia ni wafabiabiashara akiwemo Manji, Mzee Wassira, Hashim Rungwe...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    Na, Ibrahim Haroub _Geveva_ Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania. Mwaka 1998, hao ndugu walipigwa na hawakutoa tahadhari yoyote Dar es Salaam wala Nairobi. Nakumbuka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania Cuts Donor Dependency, New Budget Accelerates Middle Income Journey

    In what many Members of Parliament considers to be the historical anti-poverty and business boosting budget, Tanzania’s next financial year budget has clearly indicated that the country is in the accelerated mood towards achieving its middle income status by 2025. Like in other East African...
  9. J

    JamiiForums Tanzania TBC: Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Magufuli kwa mgeni wake Rais Tshisekedi, mzee Lowassa ahudhuria

    Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli [ Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli* #Napenda kukuhakikishia kwamba Watanzania wamefurahia sana na ujio wako na wana matumaini makubwa sana ziara hii itakuwa zaidi ya uhusiano na ushirikiano kati ya mataifa yetu. #Napenda kutumia fursa hii...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gawio la Bilioni 3 toka TTCL, nimejifunza mambo kadhaa kutoka kwa Rais Magufuli

    Na Jeff Kabwinde, Awali ya yote nitoe pongezi za dhati kwa viongozi walioapishwa leo, hakika wanastahili, hivyo wakamuwakilishe vyema Mhe. Rais Magufuli kwenye utendaji wao. Kimsingi Tanzania chini ya Rais Magufuli ni Tanzania yenye matumaini chanya kwa wananchi wake kama ilivyokuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Miradi ya SGR,Stigler na ndege kuipaisha nchi

    Zitto Kabwe amvuruga Mbowe, amwagia sifa JPM kwa kufanikisha kuitisha kikao na wafanyabiashara kutoka kila wilaya. Ahofiwa kuwa ni ACT pandikizi
Back
Top Bottom