Shangazi huku hali si nzuri

Shangazi huku hali si nzuri

Jeff Kabwinde

Member
Joined
May 29, 2019
Posts
11
Reaction score
22
Shangazi huku hali sio nzuri sana, WanaCHADEMA wamekwenda kuvuruga mkutano wa ndani wa CCM Singida Mashariki ikatokea fujo.

Wamewapiga wana CCM na wamewajeruhi baadhi ya wazee hapa tunawaza 2020 itakuwaje. Kitendo cha kinyama kabisa na waliofanya ni vijana tu wa red bregade waliopo kambi za mafunzo za Chadema Kaliua.

Nimekwenda kwa mjumbe nawapa hii taarifa mtusaidie sisi vijijini. Chama kama cha kigaidi[emoji15] sitaki mimi
 
Usijari saa tisa usiku tutalipa kutokana na kilichojiri
 
Back
Top Bottom