Zitto: Miradi ya SGR,Stigler na ndege kuipaisha nchi

Kasema serikali imekua consistence kwenye miradi yake ilio anzisha kila mwaka inaiongezea pesa...isipo kua hiyo miradi inatoa pesa nje sio inaingiza kwenye uchumi kwahiyo uchumi utapata matatizo.....hapo kapongeza nini au kasifia nini? serikali kuendelea na miradi yake ambao aikuzi uchumi.
Miradi haijaisha bado itakuzaje uchumi
 
Kasema serikali imekua consistence kwenye miradi yake ilio anzisha kila mwaka inaiongezea pesa...isipo kua hiyo miradi inatoa pesa nje sio inaingiza kwenye uchumi kwahiyo uchumi utapata matatizo.....hapo kapongeza nini au kasifia nini? serikali kuendelea na miradi yake ambao aikuzi uchumi.
Sasa wewe unategemea uanze mradi mkubwa na bado hata haijakamilika kwa asilimia 100 uanze kupata mafaida???
Hizo hela zinatoka nje ya mifuko ya serikali lakini walio ajiriwa na baadhi ya makandari si ni watanzania au ni watu gani hao walio ajiriwa hapo hujenga licha ya kuacha hao makandari makubwa ya nje??
Zito amesifia usimamo wa serikali sio Kama wa zamani, awamu ya 5 wameamua kukomalia hadi mirdi iishe sio kurikia mrdi mara mradi ule, kitkacho bki hapo ni sisi watanzania kuziendeaha Na kuzitunza hiyo miradi.
 
Hiyo makala ni ndefu sana kwahiyo subiri kusikia na yale ambayo hampendi kuyasikia!
Mwananchi wanaendelea kutoa
 
Mnafiki huyo, uchaguzi wa serikali za mitaa umekaribia anajipendekeza

Serikali isihadaike ikarudi nyuma, Zito ni audui wa jitihada za awamu ya tano
 
Zitto Kabwe amvuruga Mbowe, amwagia sifa JPM kwa kufanikisha kuitisha kikao na wafanyabiashara kutoka kila wilaya. Ahofiwa kuwa ni ACT pandikizi
IMG-20190607-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom