Huko tuendako nguvu ya wapiga kura inaenda kupoteza maana, kinachoonekana kinafaa sasa ni nguvu ya mwenyekiti wa CCM aliye na dola, tume ya uchaguzi, na vyote upande wake, pamoja na kodi za wapiga kura kununulia wapinzani.
Ndio maana kina Mbatia na wenzake wameliona hilo, kuliko kuhangaishana...