Recent content by JC Freak

  1. JC Freak

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Refer to Jamii forum references number 7795 n 7855 there is no power as usual. It's only 16 hours ago I have reported this thanks it was fixed in the midnight but it is not a long last solution a few minutes ago power went off again and we don't know how long it will take. Why don't you guys fix...
  2. JC Freak

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Eneo: Sakina kwa Iddi Wilaya: Arumeru Simu: 0621 28 21 03 Tatizo: Kukatika umeme mara kwa mara (rejea ref7795 posted on 20th May) ninavyo ongea hatuna umeme sasa kwanini hamtatui hili tatizo? Nitapost daily utakapo katika labda hii itakuwa kama kumbukumbu ni mara ngapi tunakuwa na adha hii
  3. JC Freak

    Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

    Jamaa anatafuta green card Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JC Freak

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tafadhali onyesha Eneo - Sakina kwa Iddi Wilaya - Arumeru Simu - 0621 282103 Tatizo - Kukatika kwa umeme mara kwa mara hata jana tumelala giza. Nitatizo gani hili lisilo isha kwa miaka hamjui kitu manachofanya au haiwezekani for 17 years tatizo ni hilo hilo.
  5. JC Freak

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Tanesco! Mimi nakaa Sakina Kwa Idd tumekuwa na tatizo la umeme kwa miaka zaidi ya miaka 17. Tatizo ni hilo hilo kila wakati transformer ya kama unaenda shule ya Trust ukipitia njia hii ya Kilimanjaro School ninavyo andika hivi hakuna umeme sasa najiuliza hakuna mafundi kwanini hakuna...
  6. JC Freak

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nawashukuru tanesco huu mgao wiki hii nadhani nimesave luku tosh a
  7. JC Freak

    Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Hii kitu mbona ni kawaida tu? Suarez hakumsalimia Evra na ilikuwa sawa tu
  8. JC Freak

    Uliza swali lolote la umeme wa majumbani

    Earth nimebadilisha na fundi kaniambia aweke mkaa na chumvi lakini wapi. Basi itakuwa ni tariff ya juu.
  9. JC Freak

    Uliza swali lolote la umeme wa majumbani

    Mimi umeme unatumika sana na sina electric water heater wala jiko la umeme. Lakini kwa mwezi natumia 60,000 (taa, tv, fridge na deep freezer) nifanyaje matumizi yapungue?
  10. JC Freak

    Picha: Wawakilishi wetu mnapoendelea na kikao bajeti msisahau picha hii ya hali halisi ya biashara mtaani

    Nahisi umepiga picha wakati wa ibada. Watu hao ni wacha Mungu sana ;-)
  11. JC Freak

    Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Mshana Jr nakubaliana na wewe kuwa kuna manabii wengi waongo na hii inasababishwa na waumini kutaka shortcuts, bibilia inasema utaijua kweli na kweli itakuweka huru sasa huo uvivu wa kuijua kweli ndo unatuponza na kukimbilia kwa manabii kuombewa, kutabiriwa na kulipia maji,mafuta ingawaje...
  12. JC Freak

    Mbowe anavyoshughulikia Wapinzani Wake Ndani ya Chama

    Anajaribu bahati labda na yeye atapewa uDC
  13. JC Freak

    Nina double life

    Hata mimi nilielewa hivyo kumbe ni tofauti kabisa na kichwa cha habari :)
  14. JC Freak

    Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

    Pumbavu kivipi sasa
Back
Top Bottom