Je kuna ulzaima kuwarudisha waliotolewa kwa mkopo??
Gilmour, Gallagher pamoja na Emarson kama hatutafanya usajili dirisha hili dogo... Maana siku hiz mchezaj akiwa na dall tu za mafua wanampiga nje kwanza so inahtajka kuwa na wachezaj wengi machaguo ya kutosha yao gezeke ..
Swala la pili Saul...
Kuna story fulani kipindi fulani niliisoma iliitwa Muwa uliozamisha meli.. yule nahodha wa meli ile alipokuwa akisafiri na miwa mitamu akaamua aonje kidogo baada ya kuonja akanogewa akaanza kula mwisho wa siku alisinzia na chombo kikazama na habari yake ikaisha..
Story ile ilinipa mawazo mengi...
"Maisha ni Hadithi tu. Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa duniani, basi ewe ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa" Rais Mstaafu Alhassan Mwinyi.
Hakuna asiyeitamani kuisikiliza hadithi nzuri ya Jamedari aliyelala kwa sasa Rais Dr John Pombe Magufuli, kama yupo basi huyo ana...
Tusipoangalia Simba tutafelia kwenye kiungo kwanini... Lwaga sio mmbaya sana ila pia sio mzuri sana katika wepesi wa kukaba bado ni mzito labda mazoez na tactics za kocha mpya zitamfanya bora zaidi lakini hapo ndipo tutafelia endapo kocha hataamua kuja kuanza na Mkude.. kingine Chama arudi rasmi...
Napoandika haya sio kuwa najua sana ila kias nachojua nashirikisha wanajamii wenzangu.. Nlipokosea tukosoane tufundishane ili kuongeza uelewa kwa wengine...
.
Mafanikio ni kama chakula ukipendacho, na wabaya wako ni kama chachu".
Hakuna binadamu ambae amefanikiwa kirahisi yaani moja kwa moja...
Lakini wakati m
Lakini wakati mwingine unaposhika chupa ile unaishika kwa makini zaidi ili iwe salama ndivyo maisha yalivyo wakati unapasua chupa ni sawa na wakati ambao umefeli kwenye maisha utalaumu kila kitu utajiona hufai lakini unapopata nafasi nyingine huwezi ichezea kwa uzembe kama mwanzo
Jifunze kushikilia vitu, watu au hata maslahi unayoyapenda kwa umakini zaidi sababu sio kuwa unavipoteza kwa kukosa umakini hapana umakini unao sana ila hukumbuki ulianzia wapi umakini wako kabla hujasahau.
Ngoja nikukumbushe...umakini wako ulianza pale ulipokuwa unatumwa chupa ya chai na mama...
Kinachotokea ni ufinyu wa akili na umasikini wetu watanzania .. Tamaa za kutaka kumiliki vitu vizuri kwa haraka shida sio kutolea jasho la mwili hata jasho la ubongo wako hakuna mafanikio ya style hii.. Nawaangalia vijana wengi sana wanapotea wanakimbilia huko kila kukicha na ukiangalia na elimu...
Hahahah pesa za rahisi hii tunaita greedy akili yoyote ya mwanadamu inapotajiwa pesa nyingi ndani ya kipindi kifupi hasa akiwa kwenye shida huchanganyikiwa na kujiona ametatua matatizo yote kwa kipindi kifupi.. Pale kuna vijana wengi sana wapo je hujiulizi mbona Tanzania hakuna ongezeko la...
Kwa akili tu inayoeleweka saa kuuzwa ml.5 sio tatizo zipo nyingi sana hata zaidi ya hapo ila shida inakuja je hiyo saa ya ml5 inakufanyia nini mpaka urudishe hela yako na zaidi kama sio baada ya kutoa hizo hela hofu yako inakulazimisha kufanya kazi ya kudanganya wengine ili upate hela yako na...
Kwanini lakini ongezeko la ukosefu wa ajira Tanzania ndio unachangia ongezeko la utapeli wa mitandaoni... Mfano hawa qnet hawana huruma kabisa yaan wanataka kukuangamiza wewe uangamize na ukoo wako maana hela watakayoomba utaenda kuchangisha na ukoo kama huna na baada ya hapo utaalika ndugu zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.