Recent content by JAYJAY

  1. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Vyema kabisa Mkuu. Hawa ambao hawana taarifa wanaleta tu "stori zao za kichawa".
  2. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Yaani uwatungie watu uongo halafu uchukie wakikutukana!? Bila shaka wewe ni mpumbavu. Hata kukataa kulishwa ujinga nayo ni Demokrasia pia.
  3. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Msanii Rick Ross wa Marekani aliyempongeza Samia wiki iliyopita leo kakamatwa na polisi kwa unyanyasaji

    Jaribu kuficha upumbavu wako. All of a sudden Rick Ross anampongeza samia leo!? Kwa kipi!? Average Americans hawazifahamu nchi kibao duniani . Ndio leo waizungumzie Tanganyika!? Mnanunua wajinga kwa pesa za walipa kodi ili waongee upumbavu mnaowamezesha kisha mnatuona wajinga, au sio!? F_ck you...
  4. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jukwaani hadi "Sebuleni": Mmomonyoko wa Itifaki, Shida ya Uteuzi na Kuporomoka kwa Mifumo ya Udhibiti na Mizani katika Utumishi wa Umma

    Aliyechomoka kwenye kifo kule Katavi baada ya kuwa amepigwa risasi ndiye aliyethibitisha uovu wa mafwele. Kama huwezi kumuamini huyo subiri waliouawa warudi kukuthibitishia au yakukute wewe.
  5. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Mpumbavu wewe mjinga . Gharama ya mafuta Naija ilipanda baada ya Tinubu kuondoa subsidies kwenye mafuta . Dangote amesaidia pakubwa kutuliza thamani ya fedha ya Naija. Wewe ni mweupe kabisa kichwani. Mjinga sana wewe jamaaa kumbe. F_ck you.
  6. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya ndege toka FB

    Huyo rubani aliyemchoma kisu mwenzake alikuwa amepania kuiangusha ndege na kuwaua abiria wote . Wayahudi wana maadui kila kona aisee!
  7. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Are we informed or distracted?

    Ni kweli kabisa kuna distraction kubwa sana huku kwenye simu. Mimi ugonjwa wangu ni ma_documentary.
  8. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Hoja ya “Public” na Overt Act: Jinsi submission ya Katuga ilivyogeuka kuwa hoja ya Lissu na kuwa kinyume cha serikali

    Well done Mkuu. Shida ya hawa wanasheria wa "ccm" ni kukubali kutumika hovyo. Unaambiwa na mjinga umpe Lissu kesi ya Uhaini wakati ushahidi haupo.
  9. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Yeye Nyerere nsio alitengeneza mazingira ya watu (viongozi) waliotokana na ccm kuogopa kufanya chochote ambacho kingeonekana kama chokochoko za kuvunja muungano. Kila mtu anakumbuka kilichomkuta Aboud Jumbe mpaka kugeuzwa mfungwa nchi jirani mpaka kifo chake. Huku kundi la Wabunge G55 nalo...
  10. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Umesahau nyingine ile "kesi uchwara ya mgao wa mali Bara na Visiwani " ya wale machawa akina salum mwalimu na kuzuia chama kufanya kazi kwa muda mrefu.
  11. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Leo nikitamka "nitaipindua serikali ya ccm" utakuwa ni Uhaini!?
  12. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Balile aangaliwe kama anazo akili timamu ili asije kudhalilisha anaowaongoza, ikibidi anyang'anywe vyeo haraka

    Huo tayari kichwani kumejaa njaa. Anataka mpaka awamu hii iishe awe na ukwasi kama wa Mo Dewji.
  13. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?
  14. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania BALILE BANA

    Hiyo ni takataka. Na ndio iliyoshikia bango akina Masoud Kipanya kuondolewa redioni .
  15. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Nadharia za Njama na Siasa za Tanzania: Kati ya Nyakati za Magufuli na Utawala wa Sasa

    Mkuu umemaliza yote..Nchi imeharibiwa kwa kiburi cha mtu mmoja.
Back
Top Bottom