Recent content by Jayden News

  1. Jayden News

    UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi. Dkt. Kisenge ni Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa JKCI.
  2. Jayden News

    TANZIA: Balozi Paul Rupia Afariki Dunia

    Kufuatia taarifa ya Kifo chake Rais Samia Suluhu Hassan ameandika “Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Paul Rupia. Tumeondokewa na mtu aliyetoa mchango mkubwa katika masuala ya kidiplomasia, mageuzi ya kiuchumi na utumishi wa umma, na aliyeweka mbele...
  3. Jayden News

    TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

    Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake.
  4. Jayden News

    Nape Nnauye: "Tunakamilisha mchakato wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema Tanzania imepewa kibali cha kutunga sheria ya kulinda taarifa binafsi za watumiaji mitandao na usalama wake.
  5. Jayden News

    Azam FC yamtangaza kocha wake mpya, Mfaransa Denis Lavagne

    Klabu ya Azam imemtangaza Denis Lavagne (58) Raia wa Ufaransa kuwa Kocha wao Mkuu akirithi mikoba ya Abdihamid Moalin, Lavagne ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka zaidi ya 14 toka alipoanza kuifundisha Coton ya Cameroon (2007-2011) na baadaye USM Alger ya Algeria.
  6. Jayden News

    Haji Manara aropokwa tena sakata la Tuisila Kisinda

    “Hata haieleweki kimejibiwa kitu gani? Na kwa nini Issue ya Yanga uharaka wa kujibu unakuwa mkubwa mno?” “Kanuni hizi hizi zilizombadilisha Chikwende Kwa Kahata?Kanuni hizi hizi zilizomhalalisha Kibu kucheza bila kupata uraia?
  7. Jayden News

    TFF Yachomoa Betri Usajili wa Tuisila Kisinda

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefuta usajili wa winga wa Klabu ya Young Africans, Tuisila Kisinda kwenye orodha ya wachezaji 12 wa kigeni watakaocheza msimu huu. Kwa mujibu wa TFF, usajili huo umefutwa kutokana na Klabu ya Yanga kuchelewesha usajili wake.
  8. Jayden News

    Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Liz Truss ametangazwa , kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kupitia chama cha Conservative, baada ya kupata kura 81,326 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Rishi Sunak aliyepata kura 60,399.
  9. Jayden News

    Mahakama nchini Kenya yatupilia mbali hoja za Raila Odinga

    Mahakama ya Juu nchini Kenya imeidhinisha Uchaguzi wa William Ruto kuwa Rais Mteule wa Kenya baada ya kesi iliyowasilishwa na Mpinzani wake katika Uchaguzi huo Raila Odinga kukosa ushahidi wa kutosha.
  10. Jayden News

    Chapa tozo kila kona!

  11. Jayden News

    NANI ZAIDI! Kati ya Julie Soweto (ODM) na Mahat(IEBC)

    Wanaofutilia Uchaguzi Kenya nani anamkimbiza mwenzake?
  12. Jayden News

    Jamani Mwigulu! alivyowapeleka Wananchi Goligota ya TOZO

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema wananchi ndio walioshauri Serikali ipanue wigo wa tozo za miamala kwa kujumuisha miamala yote ya kielektroniki, ili wananchi wote wachangie maendeleo.
  13. Jayden News

    Nje ya Box kuna nini? Hakuna mtu anayetaka kusikia kuhusu matatizo yako!

    Wengi wanapokosea: Hakuna mtu anayetaka kusikia kuhusu matatizo yako, ukipata fursa ya kuwasiliana na mtu aliye na fursa/anayefanya maamuzi uwe na proposal ambayo ina fursa kwake/inayoleta faida kwake, uwe na suluhisho la changamoto fulani inayomsibu, atakusikiliza!
Back
Top Bottom