Recent content by Jay.M

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma:Siri ya utetezi wa watuhumiwa na kugoma kwao kuwajibika

    Hukumu/adhabu ya hawa jamaa haitapatikana aidha kutoka bungeni au mahakamani bali ipo mikononi mwa wananchi.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    Mara zote unapotokea wizi wa mali za uma (kwa nchi yetu )ukagundulika au kuwa hadharani adhabu yake ni KUJIUZULU ama kurudisha sijui nani aliipitisha na ndo maana zinachotwa wachotaji wakijua adhabu watakayo kutana nayo yakiboya. Hili lisipofanyiwa marekebisho litaendelea kuwepo vizazi hadi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    hahahaaaaa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

    Mungu anawalinda dhidi ya maadui wakiroho mabodigadi dhidi ya maadui wa kimwili
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kikao cha UKAWA na CCM chavunjika jioni ya leo, hakuna muafaka

    Mpaka lini tutaendelea kuletewa katiba iliyotungwa na kundi la watu wachache? Matokeo yake wanaingiza interest na maslai yao na kundi lao majority mnapuuzwa still unaunga mkono
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu unamfanyaje?

    Mwanamke yuko sahihi yawezekana anajua madhaifu ya mmewe hadi akaamua kuleta mtoto wa nje, sio wakuingilia hao
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

    Tabia ndo kila kitu uzur na shape una mda wake i mean yule unayemwona mzur ata chuja umri ukianza kumtupa mkono but tabia inabak palepale
Back
Top Bottom