Kawaida ninavyojua mimi, maneno yanayotamkwa wakati wa hasira huwa yana ukweli kwa kiasi kiubwa in case yakifanyiwa upelelezi wa kina..
Hilo suala lifanyiwe uchunguzi wa kina likiwa bado bichi.. ipo siku mtu ataumbuka!
habarin wadau!
kuna ndoa ina ugomvi hapa mtaani kwetu kila ikitokea mwanamke na mwanaume wamegombana mwanamke anamwambia mwanaume "ndo maana una lea mtoto wa mwanaume mwenzio" hawa wanandoa wana mtoto mmoja inayedaiwa si wa huyu mwanaume sasa jana baada ya ugomvi katamka tena kauli hiyo hiyo mwanaume kawatimua wote mtoto na mwanamke.
basi ikabidi majirani kuingilia baada ya mambo kuwa magumu, kumuuliza mwanake baba wa huyo mtoto ni nani anaomba samahani anadai eti ni hasira tu huwa anatamka hivyo.
hivi ni halali mwanamke kutamka kauli kama hiyo kwa ksingizio cha hasira.
je hatua ya huyu mwanaume kuwatimua wote ni sahihi mtoto ana miaka 2 wa kiume.
mwanamke atakuwa anasema ukweli huyoo...
Kuna siku niliuliza 'nini hasa kinafaidiwa ktk ndoa? [ambacho hakifaidiwi huku nje ya ndoa]' nikaishia kupewa faida ambazo hata nje zinapatina na kuambiwa hadi niingie ndio nitaziona [hazielezeki!] Teh teh teh! Embu one day njoo na uchambuzi wa haya makitu!
:focus:
Hapo ni kilaza + kilaza na jawabu lake ndio kama hayo yanayojitokeza huko!
Kafanya la maana sana huyo me alivyomtimua huyo ke!
Mapenzi na akili ni vitu viwili tofauti but na wapenzi wanapokosa akili mapenzi ni za zaidi ya upuuzi!