Recent content by JAY-JOE

  1. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Ahsante sana mkuu! Sikuwa nayajua haya madini ya magauda!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Kweli mkuu? Bado niko nayo hapa! Naambiwa labda ni Almasi labda ni Quarts
  3. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Ahsante mkuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Ahsante mkuu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Ahsante
  6. J

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

  7. J

    JamiiForums Tanzania Kusafiri Dar - Mombasa - Dar

    Wadau nataka kufanya hiyo trip niliyoitaja hapo juu kwa basi. Naombeni kutoa ushamba kwa kujibiwa maswali yafuatayo; 1. Inawezekana kufika Mombasa kutokea Dar kwa siku 1? 2. Basi zuri la kwenda huko ni basi gani? 3. Nauli yake ni Sh ngapi? 4. Taratibu za kuvuka Boarder ziko poa au kuna...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.

    Okay sawa kaka!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.

    Nilishapitia hapo mkuu...ndio nikapata wazo la kupost humu. Maana hiyo gari nimeshaitafuta sana ila nyingi ninazozipata ni 2WD wakati mm napenda ambayo ina 4WD
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.

    Ha Ha Ha Kama unayo njoo PM mkuu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Habari za leo Natafuta gari TOYOTA CROWN ATHLETE SERIES Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008 Engine isizidi 2500Cc Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi) BEI IWE RAHISI SANA Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.

    Habari za leo, Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2007 Engine isizidi 2500Cc Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa ninasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi. Bei yake iwe rahisi na sihitaji dalali. Kama kuna muuzaji wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta toyota crown athlete series

    Habari za leo Natafuta gari Toyota Crown Athlete series Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008 Engine isizidi 2500Cc Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi) BEI IWE RAHISI SANA NA DALALI HARUHUSIWI Kama kuna muuzaji wa magari...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kazi Low Grade Zitakazokuhakikishia Mgegedo 24/7

    Umesomeka Kamanda
Back
Top Bottom