Kusafiri Dar - Mombasa - Dar

Kusafiri Dar - Mombasa - Dar

JAY-JOE

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
24
Reaction score
12
Wadau nataka kufanya hiyo trip niliyoitaja hapo juu kwa basi. Naombeni kutoa ushamba kwa kujibiwa maswali yafuatayo;

1. Inawezekana kufika Mombasa kutokea Dar kwa siku 1?

2. Basi zuri la kwenda huko ni basi gani?

3. Nauli yake ni Sh ngapi?

4. Taratibu za kuvuka Boarder ziko poa au kuna issues?

Sina mengi ya kuuliza hapa kuhusu huko kwa sababu nikifika huko Mwenyeji wangu atanisimamia kwa kila kitu. Ahsanteni!
 
Actually ingekua sio border ungeweza kufika Mombasa kabla mtu wa Karatu hajafika au wa Arusha hajaagiza mbege.
Border hakuna issue kama huna mzigo wa kijingi. Kumbuka Kenya unaweza kwenda na kitambulisho cha taifa bila passport.
 
Unafika siku moja ndio ukitoka saa 12 asubuh unaingia kuanzia saa 10 jion na kuendelea

Gari zuri ni TAHMEED, MODERN COAST na TAWAKAL EAST AFRICA(KINGLONG)

Nauli ni less than 40,000tshs ila ni zaidi ya 30,000tshs

Kuhusu boarder hapo mtihani kwangu sifaham chochote maana sijawah vuka
 
Actually ingekua sio border ungeweza kufika Mombasa kabla mtu wa Karatu hajafika au wa Arusha hajaagiza mbege.
Border hakuna issue kama huna mzigo wa kijingi. Kumbuka Kenya unaweza kwenda na kitambulisho cha taifa bila passport.
Mkuu ni kweli unaweza kwenda kenys kitambulisho cha taifa bila paspoti?
 
Mabasi ya Dar to Mombasa yanaanzia pale Lumumba nayo ni Tahmeed na Moderncoast na lipo linaloondokea Fire Tawakali na fare ni kati ya Tsh elfu 30 to 40. Boader uwe na pasport na kadi ya chanjo ya yellow fever. Hapo utavuka bila vikwazo.
 
Mwambie akirudi mwisho wa kutafuna miraa ni Lunga Lunga
 
Back
Top Bottom