Wamesema AJIRA ZILIZOTOKA ZIMESITISHWA so inavyoonekana wanataka kupanga upya maana makosa mengi yamefanyika sn mfn watu kuwekewa masomo wasoyafundisha afu vyuo vngine km hiyo SEKOMU na watu wengine kukosa majina.. So unataka ukaripoti wp wkt ajira imesitishwa???
Guys, plz nahitaji mtu wa kunipa details angalau kdg kuhusu SHULE YA MURANGI na eneo husika umbali wake kutoka town na vp kuhusu nyumba za kupanga na huduma za jamii.. Plz!!
Kajitu kanasoma kanachapwa stick kananyeshwa poridge bado eti na kenyewe kanajiona kako sawa na mtu wa digree.. Size yenu ni A-level ila mmewazidi kdg kwa vijikozi vya ualimu tu.. NDO MAANA MTU WA DIGREE ANAWAFUNDISHENI WOTE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.