Kwani wewe uliwahi toa story gan hapa? Kaa kushoto.. umelazimishwa kusoma? Fanya yako achana na sis... pita ivi[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]unajifamya Unajua sana wewe mdada
Unajua inaudh sana.. mtu ajaombwa alete story kajitolea tu.. hajalazimisha mtu kusoma... hii story...
Collwill ni rasmi sasa ni kitasa cha Chelsea Liver watulie sasa.. yule dogo katulia sana kwenye ukuta
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe ni n'gombe sana unamwambia ahakikishe wewe kama nani? Huo muda wa kuandika unamlipa? Kama hukuipenda ungepita hivi.. unatetea hadhira ... hadhira ipi? Tunga ya kwako acha uzuzu.. Huku hata username unayotumia ni fake alaf unazungumzia uhalisia kwani we ndo Mello?
Sent from my SM-A107F...
Insider kwanza tunakushukuru kwa experience ambayo umetupa hata kama isingekua kweli ila the way una narate mazingira ni uhalisia na inatoa picha halis ya baadh ya issues so tunashukuru sana..
Tatizo la JF ni wajuaji sana hata iliongea jambo lolote kuna wa kucŕush na wa kuunga mkono ni haki na...
Iv amna DM mwingine ad watoe izo £100m kwa huyo dogo? Waende hata Portugal au Germany hawawezc kosa sema Scout wa Chelsea wamekariri majina 2...Wachukue wa 30m wawili hawawez zingua wote
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Insider achana na hawa wahumi hata kama ni kamba sisi tumezielewa kwani wamelazimishwa kusoma? Pili pili usiyoila yakuwashia nn .. achana nao leta v2 tatzo humu jf kila mtu mjuvi sna
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jidanganye 2... yani mtu ukute mtt ana 2yrs anajua baba yake ni Juma af unaanza kumdanganya ni wewe it won't work out.. utachapiwa tuu na mm nasema uchapiwe tu maana umeyataka.. Kuna siku mwanamke atatamani kubadilisha mboga tu utakuta wamekumbushia its only a matter of time... Keep in your mind...
Mimi amenitafuta after 2 kids na kuachwa nashangaa m2 ananichek insta anaanza kujiliza japo nilimpenda ila kwa sasa i ve no time haswaa nikikumbuka dharau alizonifanyia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.