Recent content by jay 2016

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

    kwaiyoo unasubiri watanzania wenzako wafe kwa njaa ndo uamini hali ni mbaya??
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

    basi umetokea familia ya kifukara.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyakazi nchi nzima waiva

    umemaliza kila kitu
  4. J

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Patashika ya hotuba za upinzani kuondolewa, kuhaririwa bungeni

    uongozi wa magufuli utakuwa na mwisho mbaya.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Hekaheka za Komando Zedi Wimba na Jasusi Honda huko Somalia

    ntarudi nikiwa nimetulia.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe ujue maisha ya Azory Gwanda yana thamani kama yalivyo maisha yako

    yani hii Tanzania kuna vitu vinafanyika vinasikitisha na kuumiza lakini viongozi wa Dini kimyaa wanaharakati kimyaa. kwanini serikali awamu ya Tano inaandaa machafuko?????
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyakazi nchi nzima waiva

    ukishaona hivyoo kuna neno litaongelewa taree 1 kuwapooza wafanyakazi. TUCTA CWT BUNGE awamu hii vimeng'olewa meno ila kunasiku kutatokea mgomo waKUFA mtu pasipo fanyika mabadiliko.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Petro Bwimbo mzalendo aliyemuokoa Nyerere asiuliwe na waasi mwaka 1964

    alikuwa anatimiza wajibu wake
  9. J

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya ya korosho isikie tu. Hadi jeshi limeshindwa

    roho ya korosho na jiwe zinafanana watakuwa ni ndugu siunaona ata kile kichwa cha jiwe masod kipanya anavyokichoraga vinafanana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vitabu nilivyosoma mwaka 2018 – Zitto Kabwe

    hongera sana ZZK
  11. J

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    wameanzisha tatizo tayari limeshakuwa kubwa sasa anasubiriwa jiwe aje alitatue.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike unawezaje kunywa chupa 3 za wine?huu ni ushamba au

    alikunywa hivyoo kwa mda gani? maana unaweza mpa hivyo alafu ndafu iko pembeni ata kunywa ata sita.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifunga akaunti 191 za wakulima wa korosho.

    mwache anatengeneza tatizo.ili jiwe aje kulitatua.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

    upitie na malindi upate wakukuamsha asubui.
Back
Top Bottom