Recent content by jaxonjaxon

  1. jaxonjaxon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuuliza sio ujinga... Ila jibu lako linaonyesha huna busara.
  2. jaxonjaxon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada kuhusu hawa wanaouza fixed games, wanatabiri correct score, kuna ukweli wowote? Au utapeli.... Kwa waliowahi kupitia experience hiyo tusaidie
  3. jaxonjaxon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii chali mzee
  4. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Mikanda ya Gypsum

    Sawa
  5. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Mikanda ya Gypsum

    Karibuni Kibamba Royal Gypsum
  6. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

    Hongera mkuu, ukifika kwenye gypsum, kama utaweka gypsum nicheck 0713744842 Nina kiwanda cha mikanda, Kona na Maua ya Gypsum utapata Kwa bei ya kiwandani na tunakuletea ulipo. Tupo Kibamba
  7. jaxonjaxon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha Startimes cha zamani

    Una Bei gani?
  8. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie kisimbuzi cha Startimes cha dish kwa 79,000/= tu

    Hapana.. Kuna process ngumu Sana kununua kibali Cha kuonyesha... Mazungumzo yanaendelea one day yes
  9. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie kisimbuzi cha Startimes cha dish kwa 79,000/= tu

    Saivi 79,000
  10. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie kisimbuzi cha Startimes cha dish kwa 79,000/= tu

    Karibu upate Kisimbuzi (decoder) Cha Startimes Cha dish kwa 79,000 tu. Unapata mwezi mmoja bure. Kifurushi kikiisha bado utaendelea kutazama channel zote za nyumbani bure. Ukilipia Utafurahia tamthilia nyingi na movies mbalimbali. Pia mpira ligi ya hispania, Italy, ujerumani, Europa league na...
  11. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvunja kisimbuzi cha Azam kwa maana walivyotufanyia ni zaidi ya utapeli

    Nauza ving'amuzi vya startimes... Wako poa kwa tamthilia na channel za watoto.
  12. jaxonjaxon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kuhusu king'amuzi cha StarTimes

    Vipi umeshafanya maamuzi... Ninauza Cha startimes nikuletee kutoka dukani startimes
  13. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Vifurushi na bei za ving'amuzi vyote Tanzania, pitia hapa ujue kila kisimbusi

    Satrtimes waneboresha Sana huduma zao kwa Sasa... Hakuna Epl Wala Uefa lakini Kuna EUROPA, BUNDASLIGA, FA, LALIGA, LIGUE 1 Nk na Bei Ni murua kabisa
  14. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Ujue utapeli uliojificha wa kutafuta sarafu za kizamani kwa dau nono | kaa chonjo

    Duh Asante kwa kutufumbua macho
  15. jaxonjaxon

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Mikanda ya Gypsum

    Bei ya mikanda Ni 1800-2000 kwa mkanda moja.. kwa wateja wa dsm tu, kwa mikoani tutaelewana kutokana na mkoa ulipo. Ila pia ukifata mwenyewe kiwandani Bei Ni 1500 kwa mkanda mmoja. Maua Ni 15,000 Hadi 18,000 Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom