Recent content by javan

  1. J

    Kesi ya Lema: Lissu amkaanga Profesa Shivji

    kufikiri kuwa profesa shivji anaweza kutoa maoni bila kupitia kwanza hoja husika kunatia mashaka umakini wa wasomi wetu katika masuala nyeti yanayogusa maslahi ya wananchi moja kwa moja. ikiwa ni kweli kuwa hivyo ndivyo ilivyotokea basi ninamuomba yeye pamoja na wasomi wenzake na watu wengine...
  2. J

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    polisi hawajaasi dola la sivyo wangepelekwa kwenye mahakama za kijeshi au za kiraia...wanafanya wanachoelekezwa na wakubwa wao wa kazi. wasipofanya hivyo utawalipa wewe mishahara na kutunza ajira zao? tukiweza kuanzia leo tususie wabunge wote na amiri jeshi mkuu wa Tanzania ambao kila wakati...
  3. J

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    mingoi, picha unayotumia inafanana na vazi la kichungaji...kauli unazotoa ni za kishetani...una agenda ya kudhalilisha ukristo? siku zote anayeuawa huonekana kuwa mwovu kwa yule anayeua...wayahudi walimwona yesu kuwa mwovu wakamuua...kwako wewe na wenzako kila anayeunga mkono chadema anastahili...
  4. J

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    polisi hawana mkataba wowote na raia. polisi wana mkataba na serikali. raia kugombana na polisi ni kupotea njia. 2010 hatukupiga kura kuchagua igp, rpc au ocd. tulichagua raisi, wabunge na madiwani. hao wakiwa upande wetu polisi hawatatuua tena. ccm wangeambiwa slaa au mbowe kapigwa risasi...
  5. J

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    kungoja mpaka 2015 ni maagizo ya misahafu au ni matakwa ya wananchi?
  6. J

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    wewe mgeni wa nchi hii? hao askari watahamishwa mkoa, kesi za uongo zitafunguliwa hapa na pale kuvuta mda. wananchi wakisahau yanazuka mengine na hayo yanakufa kifo cha asili. kwangu binafsi sina msamaha kwa serikali na polisi, labda kama wataomba msamaha kwa raia na kuwaadhibu waliohusika bila...
  7. J

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    polisi hawatakubali uandamane ingawa si jukumu lao, serikali haipendwi tena kwenye mioyo ya watanzania, inaishi kwa kutegemea sheria kandamizi na umafia kama aliofanyiwa ulimboka.
  8. J

    Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    polisi na usalama wa taifa kufanya kazi za ccm sio ajabu. jiulize mkuu wa nchi hii ni mwenyekiti wa chama gani? yataka moyo! moyo huo anao?
  9. J

    Ulimboka asalitiwa

    tanzania ingekuwa imeendelea kama marekani rais angesujudiwa,mawaziri wangeabudiwa na mafisadi wangeitwa malaika. sio ajabu "mbayu wayu" kupigwa manati. zamu ya madaktari, walimu walishindwa siku nyingi.
  10. J

    VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka

    mh, spika aliwahi kusema "waziri mkuu hawezi kusema uongo". ni sawa na kusema tanzania inaongozwa na malaika. rais amesema serikali haiwezi kutenda maovu. kweli serikali haina dini na ndiyo sababu inahalalisha uongo. poleni sana mnaougua.
  11. J

    VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka

    chama dhaifu hutokana na taifa dhaifu,udhaifu wa ccm ni kiashiria cha udhaifu wa taifa letu. mwenye macho akikubali kuongozwa na kipofu tatizo liko kwa nani?
  12. J

    Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

    madaktari hawauzi maneno au sura zao ila ujuzi wao. hospitali bila vifaa ni kuwadhihaki madaktari wamechoka. tumia akili yako ipasavyo.
  13. J

    Mgomo wa madaktari unachochewa na chama Pinzani-Gazeti RAIA MWEMA

    tuyaache magazeti yaandike yaandikavyo. hoja za madaktari ni za kizalendo kuliko hasira za 'wakusanya kodi' wetu. madaktari wamechoka kubeba uovu wa serikali.
  14. J

    MOI Wajiunga Tena na MGOMO

    rais,mawaziri na wabunge hawawezi kugoma kwa kuwa ndio waliotufikisha hapa. kuwatukuza wanasiasa na kuwapuuza madaktari ni kuupuuza utu wetu wenyewe.
  15. J

    Dr. Ulimboka is safe and stable

    ni kama mbuga za wanyama simba wawili wanakamata nyati mmoja nyati mia wanakimbia na kumuacha mwenzao. ulimboka ni mwema kuliko wanaopanga bajeti za afya nchini.
Back
Top Bottom