Jisemee mwenyewe na nafsi yako mkuu.
Sema " mimi sipendi kuletewa yanayotokana na magazeti ya CCMAFISI", nitakuelewa!
Mtu mwerevu atatambua kuwa wewe una ujinga wa kujitakia.
tuyaache magazeti yaandike yaandikavyo. hoja za madaktari ni za kizalendo kuliko hasira za 'wakusanya kodi' wetu. madaktari wamechoka kubeba uovu wa serikali.