Wewe ni mpuuzi asiyefikilia unatoka wapi, uko wapi na unaenda wapi katika serikali ya kidkitata kama hii iliyojaa uchovu wa fikra pole sana kwa kuishiwa na fikra katika ubongo wako.
tanzania ingekuwa imeendelea kama marekani rais angesujudiwa,mawaziri wangeabudiwa na mafisadi wangeitwa malaika.
sio ajabu "mbayu wayu" kupigwa manati. zamu ya madaktari, walimu walishindwa siku nyingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.