Recent content by jategi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Yule mbunge wa Kenya aliyepeleka hoja kwenye bunge la EAC ni wa chama gani?

    kuna tatizo la msingi tulilonalo watanzania, na tusiporekebisha mitazamo, hali yaweza kuwa mbaya zaidi miongoni mwetu na tutadharauliwa zaidi na ajirani zetu. Jicho la3 anahisi kwamba Mbunge toka Kenya aliyewasilisha hoja ya kuruhusu vikao vya Bunge la Eac vifanyike kwa mzunguko anatoka chama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    waislam wana haki ya kuwa na mahakama ya kadhi kama sehemu ya ibada kwao kama walivyo na misikiti ambayo ni sehemu ya ibada. Serikali yetu haina dini na katiba inasema hivyo. N i kweli kabisa kwamba ni wajibu wa serikali kuzilipia mahakama, kitu ambacho mpaka sasa serikali inakifanya maana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishitaki serikali ya tanganyika na ya tanzania....!!!

    watafute wanasheria watakusadia kuandaa hati ya madai na kukuwakilisheni mahakamani, ila wanaweza pia kukusaidieni kuandaa hati tu na mkajiwasilisha wenyewe huko mahakamani
  4. J

    JamiiForums Tanzania Aina Mpya ya Ufisadi nchini Tanzania

    kuna tatizo kubwa kwetu sie watanzania hasa wenzetu waliofanikiwa kuanzisha makampuni na hata wananchi wa kawaida. Tatizo lenyewe ni kutothamini vyetu, yaani watu wetu, mali zetu na mazingira yetu, hiyo ndo sababu kubwa inayofanya makampuni yaajiri wageni na kuaacha watanzania maan wanadhani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkulo awashambulia TANESCO

    nafikiri ni wakati mwafaka sasa kwa tanesco kufanya kazi zake kwa kuzingatia weledi na kuacha siasa na wasiruhusu kuingiliwa na wanasiasa katika kutekeleza mipango yao ya kuzalisha na kusambaza umeme. Kama Tanesco wanaamini kwamba IPTL wanawauzia umeme kwa bei kubwa sana basi waacha kununua...
Back
Top Bottom