chama kilichomteua kuwa mgombea wake kilimjua na kumfavamu, vyema kuliko hata sisi tulikuwa nje ya chama chake, ni ukweli usiopingika CCM inajijenga upya na kur urudisha hadhi yake kwa serikali na wananchi, suala la ulizi tumuache Allah tu
juhudi za Mwalimu Nyerere zilikuwa ni kuhakikisha watanzania wote wanajua kusoma na kuandika, nimesoma hobuta yake ya Elimu Haina Mwisho " education never end" ya mwaka 1969. 12. 31, nilliona neno " matokeo makubwa" na ndipo nihisi hata BRN tuyoikopa Malaysia waliichukua kwetu katika miaka...
juhudi za Mwalimu Nyerere kilikuwa ni kuhakikisha watanzania wote wanajua kusoma na kuandika, nimesoma hobuta yake ya Elimu Haina Mwisho ya mwaka 1969. 12. 31, nilliona neno " matokeo makubwa" na ndipo nihisi hata BRN tuyoikopa Malaysia waliichukua kwetu katika miaka hiyo.
ndugu wasomi na...
ndugu watanzania, mimi Nina wazo la kuendeshwa kiwanda cha kuboresha mazao ya nyuki kwa kuzalisha asali na nta au wax.
hivyo kama upo interested unakaribishwa kwa masharti yafuatayo
kwanza: huwe unaishi DSM
pili: huwe na elimu ya juu katika fani za banking and finance, law, business...
Chama cha mapinduzi siku zote ni chama makini kinachoendeshwa kwa misingi ya kanuni na taratibu pasi bila ubabe, kwa miaka iliyopita chama hiki kikongwe kilionekana kufa kumbe kilikuwa kinajitathmini upya na kujisahihisha upya. Kutokana na kasi hii ya Rais Magufuli ni imani yangu kuwa CCM...
Chama Cha Mapinduzi siku zote ni chama makini kinachoendeshwa kwa misingi ya kanuni na taratibu bila ubabe. Kwa miaka iliyopita chama hiki kikongwe kilionekana kufa kumbe kilikuwa kinajitathimini upya na kujisahihisha upya.
Kutokana na kasi hii ya Rais Magufuli ni imani yangu kuwa CCM...
ndugu wanasayansi wetu kimsingi mimi sio mwanasayansi kama nyie ila kupitia hoja hizi nimejifunga mengi niyoyajua.
on my point
ikiwa mtu halisi atatolewa DNA na RNA zake na kutengenezwa mtu wa mfamo wake kwa njia ya mahabara, nifikirivyo mimi mtu halisi ataishi na mtu nakala ataishi wa nguvu...
nakupongeza sana mh Rais kwa uteuzi wako kwa kumteua ndugu Kassimu Majariwa kuwa Waziri Mkuu wa JMT wa kumi tangu Nchi yetu ijitawale yenyewe, hakika watanzania tutampa ushirikiano makini ili kuleta maendeleo ya watu na pia nategemea atakuwa msomaji mzuri wa hotuba ya Mwalimu Nyerere ya mwaka...
Unataka mabadiliko - unayoyahubiri kutoka kwenye "kiti" chako cha baa unayoenda kila siku unapotoka kazini, unawahubiria watu wale wale unaokutana nao kila siku, tena unajisifu unaipenda baa hii wanakujua unakunywa kwa ku-saini
Unataka mabadiliko - wewe unayeenda kunywa baa ya makaburini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.