Mie mwanamme nilifunga naye ndoa,niliamua kuachana naye sababu ya ubinafsi uliopitiliza,hajui kuhudumia famili,hajui mtoto anavaaje,hajui mkewe kaishiwa nini,hajui kuacha pesa ya mboga!anajua kususa tu,kukasirika,wivu,kupiga,kufosi mambo,na kuomba mzigo kila siku na kunifanya niishi maisha ya...