Recent content by jasirimzoefu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza hamisha mkopo toka Baypot kuja CRDB?

    Jiungeni na vikoba raha mustarehe
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kaka lege naweza kupata namba yako ya simu inisaidie kuhusu Hiyo Tatizo la Nissan serena
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni camshaft position mkuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari ikishazima kuwaka hadi ukae nusu saa ipoe kabisa ndo inawaka tena sasa wameniambia ni sensor
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu habari za kazi Naomba kujua Bei ya sensor za Nissan serena
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Jamani Nauza gari aina ya Nissan Serena cc 1900
  7. J

    JamiiForums Tanzania TRA njooni huku mkusanye kodi

    Dah Hii biashara imewaumiza sana watu maana unasign nisipolipa hadi tarehe 30 niuziwe gari langu hawa kuna mkoa wanatumia nguvu za kichawi ukikopa hupati hela ngooooo hadi wauze
  8. J

    JamiiForums Tanzania Inakera: Utumishi kujimilikisha nafasi za ajira na ndugu zao

    Ukifanya vizuri unachukuliwa mi namfahamu mtoto ndo first kufanya Interview katika tangu amalize chuo na kapata kazi kama afisa ugavi hamjui mtu dar na alifikia kwangu Nina uhakika ajabebwa na mtu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Urekebishaji ADA kwa shule za Private Serikali ifanye kwa umakini mkubwa

    Huyo anayesema walimu wa private wanalipwa milioni nani? Anayelipwa mshahara huo labda ni mkuu wa shule wengine ni chini sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania TCRA fungieni blogu 'uchwara'

    Wananikera sana tena wanazitangaza Facebook utasikia nimebinjuka na mama yangu sasa kanogewa nishaurini,mara Nauza bikra elfu 50 najaribu kublock nisipate habari zao lakini nimeshindwa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wa Tanzania wana tofauti kubwa sana na wasomi wa Kenya?

    Malezi yetu na,wakenya ni tofauti wenzetu wamelelewa kwa comfidance tangu wadogo sisi watoto wetu tuna walea kwa nidhamu ya woga
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

    Tuachieni Rais wetu Acheni ushabiki wa kiteja tumieni akili mtu ana wiki moja madarakani mnajifanya mnamjua sana mmezoea kudanganywa basi hata penye ukweli kazi kulalama mfyuuuuuu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumsahau rafiki yangu aliyetangulia mbele za haki!

    Kila nafsi itaonja mauti Mungu akufariji tulifiwa na wazazi wetu waliotuzaa na kutulea kwa mapenzi tulijua itakuwa ngumu kusaau na kuzoea lkn ashukuriwe Mungu ambaye ndiye muweza ya yote tulizoea na imebaki historia hata wewe utazoea itabaki historia
  14. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya Papii Kocha kwa JK

    Hivi Hao majaji wote tuseme wana Roho za kinyama siamini kabisa kuhusu Hii kesi maana ni fimbo la kiimani
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    Semeni mmekopa but laki sita haiwezi kujenga nyumba kwa maisha ya dar
Back
Top Bottom