Unamsaidiaje masikini kwa kumpa ekari 50 za kuanzia maisha? Huko ni kumuongezea umasikini. Mpe nusu ekari au ekari moja aanze mdogomdogo, huko mneleni ataongeza mwenyewe.
Nchi hii vibovu ni vingi, nenda sokoni chungunguza Nyanya maji, hoho, Samaki nk utakutana na madudu ya haja. We kula tu, afya yako mwachie mwenyewe mwenye pumzi yake. Utatupa vingapi?
Wanakoseaga tu kuweka muda wa utekelezaji - eti nitajenga uwanja ndani ya miaka 4, lakini kiukweli ujenzi wa uwanja wa mpira sio issue ya mazingaombwe.
Atasababisha ongezeko la wizi na ufisadi katika sekta za umma. We unadhani mafuta ya hayo magari watatoa wapi kama si kufanya ufisadi ili kazi zifanyike?
Kama nawe unakiri mitaani kote vijana wanazungumzia habari za mipira, ulitaka media zifanyeje? Kumbuza nazo zipo kibiashara. Siku zote biashara inaangalia lilipo soko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.