Recent content by Jaruba

  1. J

    Star TV hamtendi haki

    Wadau Kwa yeyote aliyeangalia kipindi cha Ajenda 2015 leo tar 27 April, ambacho mara nyingi hufanywa na Dotto Bulendu awe muwazi kuwa Star TV wanatumika muda mwingine na CCM,iweje mtangazaji a alike wageni wote wa mlengo mmoja,halafu na yeye awe upande wao,hana maswali ya kuwabana anaawacha...
  2. J

    Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Millioni 200 mkuu
  3. J

    Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    hahahahahaha,napenda watu wanaokubali ukweli na kuwa kama wewe,nunua king'amuzi ndugu yangu,utatuchosha vidole kukufafanulia na mengine outomatic kujulikana.
  4. J

    Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Watu wengine mmezaliwa kubisha tu,wagumu kama nyama ya tak*****,aliyetangaza machinga kupewa maeneo hayo tena hata magazeti ya leo yameandika ni nani?si Mulongo?wewe jamaa kama unataka kubishana tafuta post za kubishi huko siyo hii,muulize Mulongo,je yeye nae ni Afisa mipango miji?usiniulize...
  5. J

    Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Wadau kama tutakumbuka vizuri,jana katika taarifa za habari kulikuwa na habari ya wamachinga kupewa maeneo mawili katikati ya jiji la mwanza na mkuu mpya wa mkoa bwa magesa mulongo,maeneo waliyopewa ni standi ya Tanganyika na ile ya magari ya kwenda airport kutokea Igoma.katika pitapita zangu...
  6. J

    Sakata la Escrow: Star TV wametumwa na nani?

    Mkuu uliangalia Marudio tu au hata live?ITV walianza live yao wakiitolea tbc,ila badae kwa sababu zao pengine kibali ama ubora wa picha wakajiunga na Star tv kama ulivyoona,inakuingia akilini kipindi recorded kiwe vile?acheni bwana,star tatizo lao ni habari tu ndio mbovu kuliko zote,ila vipindi...
  7. J

    Sakata la Escrow: Star TV wametumwa na nani?

    Mtoa mada hajatukana kwenye thread yake,kwa hivyo pia matusi hayatusaidii,lakini mawazo tofauti hayakwepeki kwa ulimwengu wa leo japo ukweli juu ya Escrow si wa kuhusianisha Filikunjombe kuwa bestman harusi ya Kafulila,ni hisia za kizamani kwani hayakuwa mawazo ya Filikunjombe na ZZK,bali...
  8. J

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Acheni unafiki nyie CHADEMA,huyu mtoa mada naamini ni moja ya vibaraka wa wagombea wengine kumchafua mwenzake,au mnambagua kwa vile ni Msukuma?mnataka Naftari au mtu wa kaskazini?acheni ujinga
  9. J

    Humphrey Polepole ni nani?

    Ni ---- tu m1 mjuaji japo kweli anajua
  10. J

    Prof. Anna Tibaijuka anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    Mpeni ukuu wa mkoa wa kagera awatawale wenye akili kama zake,ameifanyia nini nchi hadi apewe urais?au kuwahonga mia mia ndo mtujazie thread za kumsifia jf kila kona?awe rais wa bukoba na c tz
  11. J

    Mbowe azidisha ulaghai

    Na alivyobaki nao imesaidia nini?
  12. J

    Mbowe azidisha ulaghai

    Nimekuwa ninamfuatilia sana kamanda wa anga mbowe,kila mara anapozungumzia hofu za chadema kuhujumiwa,lazima aseme ushahidi tunao,ila akitakiwa kuuweka wazi anaufyata,si bora asingekuwa anaweka wazi,mfano kule Soweto,alisema ushahidi wanao kuwa ccm ndio walihujumu kampen zao za mwisho akatakiwa...
  13. J

    Mh. Lema: Wakati Kikwete akiomba kondomu kwa Obama, magazeti nayo yaliishia kuandika viuno

    Mara nyingi huwa nasimamia msimamo wa kwamba,kiongozi bora ni yule anaejitambua,mwenye hofu ya Mungu,na mwenye nidhamu,Lema hana hata moja kati ya haya.Cha ajabu ana vijana wengi nyuma yake,jambo linalonipa wasiwasi pia maana ukitembea mwizi,na wewe pia u mwizi,Lema na viongozi wote wenye akili...
  14. J

    Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    Sina mashaka kuwa huyu jamaa kagundua kuwa CDM na hasa viongozi huwafanya wenzao mitaji ya kisiasa na wanapopata wanachokitaka huwatema kama big g,so yeye kaliona kasepa,mliobaki pia pimeni,mbaki au na nyie muende vyama vingine c lazima ccm.
Back
Top Bottom