Recent content by JAPUONY

  1. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

    Hata Mama yako Mwenyewe ni Mbaguzi maana anampenda Babayako tu?
  2. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Panya road warudi Tena mchana huu

    Mama aliwaomba PanyaRoad waache hizo tabia. Nilidhani ni Wasikivu kumbe Bado? Tutamwambia Mama awaombe tena...nadhani ni Wasikivu wataacha
  3. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania TUCTA, kudai 'vyeti feki' warudishwe kazini ni aibu!

    Nyie ndo wapumbavu wachache mliobaki Tanzania!
  4. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

    Tumia urefu wa Kamba yako. Kama Kamba yako fupi, ongezea urefu. Acha kulalamika fainali uzeeni. Utabaki na uzalendo wako mwenyewe!
  5. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  6. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Naibu yupi?[emoji41]
  7. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Prof. Joseph Mbele: Nimewabaini wanaomkwamisha Rais Magufuli

    Wangeshauri utakavyo wangeendaje Ulaya? Let people get per diems!
  8. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Pale ni PAGUMU. Hapawezi. Jafo anatosha!
  9. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    This might be true! Kumbukeni CHADEMA ukionekana KINARA tu ama uhame au maisha yako yaondolewe! Mbowe awe ni miongoni mwa wahojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuhusu Lisu kupigwa risasi.Over!
  10. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Geoffrey S. Wasonga, aliyefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa TLS ni nani?

    Wewe mtoa post hii ni mshamba na mjinga wa kutosha kabisa...inaonekana haufahamu hata historia ya nchi yako. Usidhani kila Mjaluo ni Mkenya. Luos are all-over...kuanzia Sudan ya Kusini, Kenya, Uganda, Tanzania, Central Africa na hata USA. Lakini pia inaonekana haufahamu maana ya nani ni "Raia...
  11. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Tamko: Ukweli uliojificha kuhusu Kitwanga kufukuzwa Uwaziri

    Ka
  12. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza uwanja ndege wa JNIA, Dar. Akuta mashine mbovu...

    Una AKILI mbovu kama akili yako!
  13. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Sitosahau alichonifanyia Lowassa na wenzake

    Omera Nyarwath...wachie!
  14. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ZEC yatoa ushahidi jinsi uchaguzi ulivyoharibiwa kwa hujuma

    Hivi kumbe Wazanzibara wenzetu wana hati mbaya kiasi hicho? Wanagapi wanajua kusoma katika kisiwa kile?
Back
Top Bottom