one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,311
Halafu hawa wanaenda sehemu kwa watu maskini wanajuwa sehemu za matawi ya juu lazima watu wana camera na silaha za moto watakula shaba tu hakuna atayekubali nyumba ziko na security waende mitaa kama ya Masaki au Mikocheni wanajuwa watakutana na nini kuna watu watazipiga tu, Wanaenda mitaa ya watu maskini na kuwapora hicho kidgo walichonacho huu ni ushenzi wa kupitiliza naomba kusikia kama kumi wamechapwa risasi mbwa hawa.
! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo!