Recent content by Japtz

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kimara mwisho

    gari inafika mkuu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kimara mwisho

    pungufu na maelewano yapo mkuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kimara mwisho

  4. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kimara mwisho

    Nategemea kuweka picha baadae mkuu,kuna mtu ameenda kupiga picha mkuu,akhsante kwa ushauri
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kimara mwisho

    Nyumba ya vyumba vinne,choo na bafu,sebule ya kupumzikia,sebule ya chakula pamoja na jiko. Pia kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine. Nyumba ipo Kimara mwisho - ghorofani,njia inayoenda bonyokwa. Bei ni mil 40.Kwa maelezo zaidi piga 0755198216 na 0755310028.
  6. J

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Haya mambo yanamwisho wake na mwisho wake huwa ni mbaya sana,ole wao ole wao maana kiama chao chaja
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Profesa Sospeter Muhongo: Punguzeni siasa wananchi wa Arusha nchi bado maskini

    kweli kabisa mkuu.moja ya sababu kubwa sana iliyotufanya tanzania tusiwe na maendeleo miaka 50 baada ya uhuru ni hii ya kuwa na viongozi ambao ama hawajui mambo yanayotufanya tusipate maendeleo au wanatuhadaa wananchi kwa uongo dhahiri shahiri.na kama tutaendelea na mfumo huu wa kuwa na viongozi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zitto afichua siri yake na Kikwete...

    hakika mkuu,hata mimi huwa sipotezi hela yangu kununua magazeti ambayo waandishi wake wanasubiri kutafuniwa habari na JF.VIVA JF
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi>Mke

    Akhsante mkuu Ray,ntafanya hivyo mkuu
  10. J

    JamiiForums Tanzania The funniest speech ever from an African President!!

    Nakuunga mkono mkuu,huyu ukitafasiri kwa lugha yetu atakuwa sahihi sana lakini yule wa visiwa vya zimbabwe na pemba ni aibu ya mwaka
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi>Mke

    Kuna usafiri wa ndege na mabasi sunshine
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi>Mke

    Karibu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi>Mke

    Anakaribishwa mkuu
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi>Mke

    Wanawake pia wanahitajika bint sayuni
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi>Mke

    Nipo mwandiga - kigoma
Back
Top Bottom