Nyumba inauzwa Kimara mwisho

Nyumba inauzwa Kimara mwisho

Japtz

Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
23
Reaction score
1
Nyumba ya vyumba vinne,choo na bafu,sebule ya kupumzikia,sebule ya chakula pamoja na jiko.
Pia kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine.
Nyumba ipo Kimara mwisho - ghorofani,njia inayoenda bonyokwa.
Bei ni mil 40.Kwa maelezo zaidi piga 0755198216 na 0755310028.
 
hiyo nyumba hukuweza kupata picha zake,najua wanunuzi watakuwa tempted kukupigia kutokana na kushawishika japo na picha!!!
 
Nategemea kuweka picha baadae mkuu,kuna mtu ameenda kupiga picha mkuu,akhsante kwa ushauri
 
Nyumba ya vyumba vinne,choo na bafu,sebule ya kupumzikia,sebule ya chakula pamoja na jiko.
Pia kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine.
Nyumba ipo Kimara mwisho - ghorofani,njia inayoenda bonyokwa.
Bei ni mil 40.Kwa maelezo zaidi piga 0755198216 na 0755310028.[/QUOpicha hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom